Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Kocha alikuwa Klopp? Au hukuelewa aliposema Klopp hajawahi mfunga OGS na Ancelot?
Hivyo, Liverpool mmeshawahi kumfunga Ancelot, lakini Liverpool chini ya Klopp hamjafanya hivyo.
Ukiondoa lukaku hapo hao wengine miguu yao imekatika ama? Mana huko waliko nilitegemea wangeshine sana. Herrera wote tuliumia kuondoka kwake na aliondoka akiwa bado ni msaada sana na passion ya hali ya juu kwa timu. Huo ulikuwa ni ijuha ambao hadi Leo sielewagi ole ana nini kichani kwake. Hao wengine wote ni kama wamepotea tu,ukiondoa Smalling ambae anacheza vilevile tu ila kule aliko ana uhakika Wa namba panga pangua. Lukaku mwenyewe hajabadilika kivile kama watu wanavyoamini kwa sababu pamoja na kufunga bado nafasi anazokosa magoli ni nyingi zaidi kitu ambacho kwa namba 9 ni tatizo kubwa. Watu wanaona kabadilika kwa sababu wanasikia tu na kuona kwenye live score lukaku kafunga ila ukifatilia mechi hizo jamaa huwa anapoteza nafasi sanaNi kweli man u inaua vipaji
Depay
Sanchez
Lukaku
Herera
Mikitarian
Falcao
Matic
Pogba
Smalling
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, ila nimecheka sana#40£milNachohofia anaweza ambukiza dressing room yakatokea yale ya Mou, dawa ni kumuuza ikiwezana this january ila hela tunayotaka sidhan kama kuna club itaweza kukubali (120 pounds mil)
Huyu ni wa 40 pound mil, Mou na Raiola walitupiga hapa
Ni heri OGS akasajiri wachezaji wa 15pound mil aina ya DJ wenye spirit
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, nilibug ile mbaya.Nimekuwekea screenshot ya quotes zetu, niambie hicho unachoandika umekitoa wapi.
View attachment 1309207
Huyu ni wa 40 pound mil, tulipigwa hapaKabisa, ila nimecheka sana#40£mil
Shukrani sana mkuu Don ClericuzioAnakuchangamsha tu huyo.
Karibu sana bosi.
Hii comment yako ipeleke kwenye uzi wa Spurs..uta-make sense zaidi..
Kuiweka hapa ni kuonyesha ni kiasi gani wewe ni mnafki..
Hama timu umfwate huyo Mourinho wako hukohuko spurs
Unaangaliaga mpira lakini? Wanauwaje vipaji mbona jemes,martial , rashford ,maguire ,bissaka huwataj kama vipaji vimekufa?Ni kweli man u inaua vipaji
Depay
Sanchez
Lukaku
Herera
Mikitarian
Falcao
Matic
Pogba
Smalling
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana pesa ni halali ila ni mjeur anajiamini sana anaona kama bila yeye hamna kitu wakala wake na yeye wanashangaa scott na fred wamefanyakazi zaidi ya jamaa wanabwabwaja tu na bado matic mwenyewe alikuwa hana adabu saiv karud na nidhamHuyu ni wa 40 pound mil, tulipigwa hapa
Sasa kama kirusi ni wa 120 pound mil na KDB atakua wa pesa ngapi?
Ila namshangaa sana kirusi, anajiaribia career yake, hata kama anataka kusepa ilipaswa awe na nidhamu na amkanye wakala wake akae kimya, timu gan kubwa itakubali ku'risk pesa nyingi ivyo kwa mchezaji mtovu wa nidhamu, si madrid wala barca wala bayern, ndio maana zidane hata hamshobokei, madrid wanaenda kuvunja bank kwa mbape mtambo wa magoli
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo OGS ashawahi mfunga Klopp, au nyie hizo draw mbili ni kubwa sana kwenu?Kocha alikuwa Klopp? Au hukuelewa aliposema Klopp hajawahi mfunga OGS na Ancelot?
Hivyo, Liverpool mmeshawahi kumfunga Ancelot, lakini Liverpool chini ya Klopp hamjafanya hivyo.
As a player, Nonsense.!Jack Grealish of Aston Villa is better than Pogba kirusi, in a complete sense,as a player, as a leader, as a person
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu mnapendaga ligi za hiv hamna kocha asiefungika ktk ligi ni suala la muda tu na uwezo wa timu ki mbinuHuyo OGS ashawahi mfunga Klopp, au nyie hizo draw mbili ni kubwa sana kwenu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda nje ya uwanja,Jack Grealish of Aston Villa is better than Pogba kirusi, in a complete sense,as a player, as a leader, as a person
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningekuwa family ya pogba ningemwambia avunje uhusiano na huyu jamaa, kama unauwezo unauwezo tu. Raioula sio anayecheza, anayecheza ni mtu mwingine kabisa. In case attitude ni ya agent. Lakini kama wanafanana wangeoana kabisa tujueNa iwe mwisho kusajili michezaji wa huyu wakala tapeli Mino Raiola
Jamani VAR hapa hawajasema chochote? Mana hii mibao ni sehemu ya ukatili. Wangekuwa Liverpool ndo wamepigwa mgoli Wa hivi VAR ingegomaChelshit wame'draw, mwishoni wamekoswa koswa View attachment 1309471
Sent using Jamii Forums mobile app