Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Angel Gomes kuna uwezekano Mkubwa akaondoka na Barcelona wamerudi tena kwa nguvu za kumuwania. Nadhani Barca kuna kitu kikubwa wanakiona kwa huyo dogo ma ndio maana msimu ulopita walikuwepo na huu wamerudi tena
 
Duuh Ogs anataka kutustafisha mapema, yaani now days sina raha na chama langu kabsa, mzee ferg alitudekeza sana enzi za glory days

Sent using Jamii Forums mobile app
 
United haina kocha anayestahili kuweka historia tena

Watusajilie striaka mzee mmj tu kwanza
 
De Gea

Dalot Tuanzebe Maguire Williams

McTominay Fred Pogba

Greenwood Martial Rashford


Nampa james likizo kidogo he is out of his sharpness tunapokutana na timu ndogo..
 
Hii line up, ni nzuri pia, japo kwa sababu hiyo Martial anaweza kuwa ndio mtu sahihi kupumzishwa

Ila kwa kuwa Martial ana status yake tayari, anaweza kuonekana hagusiki

Uzuri wa James, atakusaidia offensively na defensively
De Gea

Dalot Tuanzebe Maguire Williams

McTominay Fred Pogba

Greenwood Martial Rashford


Nampa james likizo kidogo he is out of his sharpness tunapokutana na timu ndogo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sababu ya msingi ya Martial kupumzishwa ni nini mkuu??..

Alivyoingia Pogba uliona walivyocheza??..

Simkubali Martial maana hajitumi lakini kwa kuangalia mechi iliyopita na kurudi kwa Pogba,sioni sababu ya kumdrop,labda tungoje tuone mechi hii na zijazo..
 
Mkuu, mimi kwangu akianza Martial bado sioni shida kiivyo,

Sababu ya Martial kusubiri, ni James kuanza, sababu ninaamini James ana offer kikubwa kuliko Martial

Pogba (akiwa form) anafanya Martial aonekane zaidi, Pogba (akiwa form) anaweza fanya mchezaji yoyote ang'are akiwemo James


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…