Conversion rate ya Timo Werner ni ya kawaida sana.
Kwangu mimi naona option mbili sokoni Piatek na Haaland kwanza kwa sababu zifuatazo.
1 conversion rate yao ni nzuri sana golini.
2 Wanafunga magoli ya aina nyingi wanatumia miguu yote miwili, wanafunga kwa header, wanafunga dead balls etc
3 Speed wote wanaspeed nzuri hivyo kwenye counter attack ni useful zaidi hasa ukizingatia cross za DJ wetu.
4 nguvu wana nguvu sana they are not vulnerable kwa defenders wanaweza kufanya battle za 1vs1, 1vs2 or 1vs3 na kuwa na madhara.
5 their movement with or without the ball ni nzuri sana na inasaidia kupata magoli mengi kwa timu.
6 their physical presence in the game inafaa sana hasa kwa ligi yenye physical battle kama epl.
Sisemi kuwa Timo Werner ni mbovu but my choice angekuwa hao niliowataja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serious kabisa Haaland/Piatek wana conversion rate kubwa ya kufunga kuliko Werner ?
Unamaanisha hizo sifa zote ulizotaja Werner hana ?
Sijakuelewa unaposema conversion ya Werner ni ya kawaida na inawezekana bado hujajua formation ya OGS inahitaji wachezaji gani hadi sasa na posibly humjui Werner ukimlinganisha na Piatek/HaalandConversion rate ya Timo Werner ni ya kawaida sana.
Kwangu mimi naona option mbili sokoni Piatek na Haaland kwanza kwa sababu zifuatazo.
1 conversion rate yao ni nzuri sana golini.
2 Wanafunga magoli ya aina nyingi wanatumia miguu yote miwili, wanafunga kwa header, wanafunga dead balls etc
3 Speed wote wanaspeed nzuri hivyo kwenye counter attack ni useful zaidi hasa ukizingatia cross za DJ wetu.
4 nguvu wana nguvu sana they are not vulnerable kwa defenders wanaweza kufanya battle za 1vs1, 1vs2 or 1vs3 na kuwa na madhara.
5 their movement with or without the ball ni nzuri sana na inasaidia kupata magoli mengi kwa timu.
6 their physical presence in the game inafaa sana hasa kwa ligi yenye physical battle kama epl.
Sisemi kuwa Timo Werner ni mbovu but my choice angekuwa hao niliowataja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani spurs wamuachie Harry Kane sasa hivi??..hahaha labda utoe £300mPTER, Definitely it's Harry Kane to me. Mchezaji yeyote yule chini ya jua yupo sokoni ni wewe na timu yako ya negotiators mnapeleka nini mezani kama anavyopenda kusema Florentino Perez rais wa Real Madrid.
Nimeona hapo umezungumzia juu ya defence yetu pia, Mahala kuliko na shida ni upande wa kushoto maeneo mengine with time wataimarika zaidi. Kushoto kwa Luke jamaa ni injury prone kabla ya mchezo wa kesho kati ya mechi 192 za ligi kuu alizopaswa kucheza amecheza mechi 79 tu utaona kwa wastani anacheza moja mbili yupo nje na majeruhi hawezi kucheza mechi tatu consecutive bila kuumia. Ningependa kuona Benjamin Chilwell akiletwa kama mbadala wake, Ni ngumu kumuweka Luke Shaw kwenye mipango ya muda mrefu muda mwingi yupo nje ya uwanja kutokana na majeraha.
Jamaa zangu wana nafuu hawa Je wakinasisi arsenal
Timo Werner
PTER, Definitely it's Harry Kane to me. Mchezaji yeyote yule chini ya jua yupo sokoni ni wewe na timu yako ya negotiators mnapeleka nini mezani kama anavyopenda kusema Florentino Perez rais wa Real Madrid.
Nimeona hapo umezungumzia juu ya defence yetu pia, Mahala kuliko na shida ni upande wa kushoto maeneo mengine with time wataimarika zaidi. Kushoto kwa Luke jamaa ni injury prone kabla ya mchezo wa kesho kati ya mechi 192 za ligi kuu alizopaswa kucheza amecheza mechi 79 tu utaona kwa wastani anacheza moja mbili yupo nje na majeruhi hawezi kucheza mechi tatu consecutive bila kuumia. Ningependa kuona Benjamin Chilwell akiletwa kama mbadala wake, Ni ngumu kumuweka Luke Shaw kwenye mipango ya muda mrefu muda mwingi yupo nje ya uwanja kutokana na majeraha.
Sijakuelewa unaposema conversion ya Werner ni ya kawaida na inawezekana bado hujajua formation ya OGS inahitaji wachezaji gani hadi sasa na posibly humjui Werner ukimlinganisha na Piatek/Haaland
1.Mfumo wa OGS unahitaji mobile foward na sio target man like Piatek/Haaland (hawa ni pure no 9) Werner anacheza kama Martial/Rashford but he is better kwenye kufunga na kutengeneza magoli.So far sijaona tofauti ya uchezaji wa Lukaku na Haaland .Hichi ni kigezo muhimu sana kumbuka Lukaku is better striker than Martial/Rashford but he doesnt fit in OGS system
2.Timo Werner ameshafunga magoli 90+ as senior player magoli ambayo ni almost jumla ya magoli waliyofunga Martial + Rashford as senior player.Msimu huu so far kwenye bundesliga kafunga magoli 18 na assist 5 He is proven goalscorer
Haaland hajafikisha hata 50 games as senior players .
3.United hatuna fullback wazuri kwenye kushambulia (sidhani kama Shaw/AWB wamefunga goli/kutoa assist msimu huu) ndio maana ni hatufungi magoli ya vichwa ,Sadio Mane licha ya kuwa ni mfupi lakini anafunga magoli mengi ya vichwa kuliko United sababu TAA & Robertson ni wazuri kwenye kushambulia na wanapiga kross
The problem OGS anaonekana sio mtu wa plan B so ni ngumu sana kusajili more experience players ndio maana so far anapata taabu kusajili wachezaji anaowataka.Last season kulikuwa na striker wengi walikuwa available lakini hakuhangaika kabisa kuwasajili for short term licha ya ku-release almost 4 players.Kwa kigezo cha huyo aliyeuliza swali, cha striker mwenye experience ili awe kama guardian wa akina Martial, Rashford na Mason unaona Timo Werner ana fit hapo? 23 years old?
Kiukweli Timo Werner simkubali sana kwa sababu nje ya ligi ya Ujerumani hajawahi kunishawishi uwezo wake, ukianzia kwenye world cup na UCL
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni tatizo la kocha hao ndio wachezaji anaowataka ndio maana kamuuza Lukaku kina Mandzukic,Llorente,Icardi walikuwa available last summaer lakini hakuhangaika naoMkuu hicho kigezo cha Timo Werner cha kucheza kama akina Martial au Rashford ndio moja ya sababu inayonifanya mimi nisishawishike kabisa kuhusu huyo Werner
Mpira wetu umekuwa very predictable, timu ikishatubana kwenye counter attack basi tumekwishisha, hatuwezi kutumia long balls wala mbinu nyingine yoyote. We need a new striker with a new dimension like Haaland. Haaland atatusaidia sana kwenye aerial battle pale mbele, hata Ukiangalia siku hizi tunapoteza sana mipira inayotengenezwa na DJ maana hatuna wapiga vichwa
Pia Haaland technically yupo vizuri kuliko Rom, na ana movement kama za akina Martial na Rashford japo ana mwili mkubwa kama Rom
Pengine hata Dalot atakuwa na matumizi kwenye baadhi ya mechi tukiwa na striker kama Haaland. Kwangu mimi, sioni umuhimu wa AWB kucheza mechi kama ya Watford, Newcastle, Sheffield n.k. wakati Dalot yupo na striker kama Haaland yupo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni tatizo la kocha hao ndio wachezaji anaowataka ndio maana kamuuza Lukaku kina Mandzukic,Llorente,Icardi walikuwa available last summaer lakini hakuhangaika nao
Huyu Chilwell kweli kwa ukabaji huu, anaweza kuwa upgrade ya Shaw, naona Mahrez anajigeuzia tu mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Waingereza huwa wanakuzwa sana na vyombo vya habari akiwa form kidogo tu zinaanzwa kuletwa stats za kutunga nyingi na records alizovunja.
Sent using Jamii Forums mobile app