robin van persie ndiye mchezaji wa mwisho wa man utd kufunga hatrick na ilikuwa dhidi ya aston villa takribani miaka saba iliopita.
It is a matchday...uuuuuuuuhuuu
C'mon United!!!
Aisee naomba sana Daniel James(DJ) afunge goli..it's been a while..nitakuwa more than happy
Ole inabidi aingie kwa kasi ya ajabu..Toffies inabidi walale mapema sana,ili tuwe 2 clear points from Top Four
Tukikosa point tatu leo,tunarudi tena hatua kumi nyuma
GGMU
Moto gani? Lukaku hajabadilika sana japo anafunga zaidi kuliko ilivyokuwa Man u. Bado anakosa nafasi nyingi anafunga chacheMaguire alikuwa choice ya Mourinho, Bissaka kafanya vizur so far, ila pia usisahau hata Lukaku mliyemuuza huko aliko ni moto wa hatari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bournemouth wamefanya kazi nzuri sana leo tunatakiwa tushinde kumtoa wolves na pia kupunguza gap na daraja la mbao
Yaah hao watani ya jumatano tukiwatoa hapo juu itakuwa uzuri wa kupendeza
Leo tunahitaji kupambana,Dhidi ya Toffees, 27 points on sight [emoji102]View attachment 1293298
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni dalili za kushinda hii mechi wachezaji hawana morali kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app