Siku ninayotaka mpigwe Mkuyenge mwajifanya mnasinda [emoji34][emoji34][emoji34]
Ndugu jaribu kutumia maneno yenye busara sasa habari za sijui mkuyenge zinaingiaje humu??.Siku ninayotaka mpigwe Mkuyenge mwajifanya mnasinda [emoji34][emoji34][emoji34]
Dah wamefunga goli moja, huu mpira uishe tuu sasa
Bado sana. Hata nusu yao hastahili kulipwa..Sterling kakutana na mhuni anaitwa Aaron Wan-Bissaka hatembei kabisaa [emoji38][emoji38]
. Rashford kwa sasa anastahili mishahara kama ya kina Messi na Ronaldo.
Kwani kuna shida mzee? [emoji23] [emoji23] mbona chacheDah dakika zote hizo za nyongeza
Kwani kuna shida mzee? [emoji23] [emoji23] mbona chache
Ndugu jaribu kutumia maneno yenye busara sasa habari za sijui mkuyenge zinaingiaje humu??.