Fred wa shakhtar Donetsk aliyekuwa akicheza sambamba na fernandinho alitua kwa mara ya kwanza carrington siku ya jumatano dhidi ya spurs na leo pia yupo dhidi ya city.
Naomba pogba aendelee kupona vizuri hadi may,asiharakishwe kurudi ataumia zaidi.
Namuona yuko makini sana na penati za wekundu kuliko bluu, lakini kwa maoni yangu maamuzi ya kukataa penati za Bluu ni sahihi kwa tafsri ya sheria yenye kwamba mkono ulikuwa sehemu yake ya asili hivyo Mpira umefuata mkono.