Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Refa anajitahidi kuwabeba MANU katika hizi dakika za lala salama.
 
Nasikia Manure wapo na point sita kileleni ... .. ... .... .... .... wapi machabiki wa timu inayobebwa na mbeleko ooops timu ya mashoga ... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Nasikia Manure wapo na point sita kileleni ... .. ... .... .... .... wapi machabiki wa timu inayobebwa na mbeleko ooops timu ya mashoga ... .... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Unakumbukia mbeleko yenu ya jana, kaandike kwenye forum ya Arsenill
 
huyu jamaa kila sehemu anawaalibia tu wapi vampire wapi diver wapi wine romney....

eti city tushaiharibia heheheeeee

poleni majirani zangu..

Nachikia vampire alikuwa anataka kupigana? Wakati Fungie anatafuta mchawi ... .... ... kwenye retrospective decision . .. ..... ..khe khe kheeeeeeeeeeeee hongereni kwa ushindi na kuambulia ka-point ... ... .. nasikia BJ amezima computer .... .... Belo bado anawewesekaweweseka tu .... .. Merry x-mass and a happy new year.

Fungie alie tu refa aliona na kutoa adhabu kwa hiyo amekula kwake. .... .. mzee wa brown envelopes ... ..

Merry X-Mass Wacha1

PLAY WIN POINTS
[TABLE="class: table-stats, width: 336"]
[TR="class: team first, bgcolor: #F5F5F5"]
[TD="class: position"][/TD]
[TD="class: team-name"]Man Utd[/TD]
[TD="class: played, align: right"]18[/TD]
[TD="class: goal-difference, align: right"]19[/TD]
[TD="class: points, align: right"]43[/TD]
[/TR]
[TR="class: team, bgcolor: #F5F5F5"]
[TD="class: position"][/TD]
[TD="class: team-name"]Man City[/TD]
[TD="class: played, align: right"]18[/TD]
[TD="class: goal-difference, align: right"]19[/TD]
[TD="class: points, align: right"]39[/TD]
[/TR]
[TR="class: team, bgcolor: #F5F5F5"]
[TD="class: position"][/TD]
[TD="class: team-name"]Chelsea[/TD]
[TD="class: played, align: right"]17[/TD]
[TD="class: goal-difference, align: right"]19[/TD]
[TD="class: points, align: right"]32[/TD]
[/TR]
[TR="class: team, bgcolor: #F5F5F5"]
[TD="class: position, bgcolor: #DCDCDC"][/TD]
[TD="class: team-name, bgcolor: #DCDCDC"]Arse8[/TD]
[TD="class: played, bgcolor: #DCDCDC, align: right"]18[/TD]
[TD="class: goal-difference, bgcolor: #DCDCDC, align: right"]14[/TD]
[TD="class: points, bgcolor: #DCDCDC, align: right"]30[/TD]
[/TR]
[TR="class: team divider, bgcolor: #F5F5F5"]
[TD="class: position"][/TD]
[TD="class: team-name"]Everton[/TD]
[TD="class: played, align: right"]18[/TD]
[TD="class: goal-difference, align: right"]8[/TD]
[TD="class: points, align: right"]30[/TD]
[/TR]
[TR="class: team divider, bgcolor: #F5F5F5"]
[TD="class: position"][/TD]
[TD="class: team-name"]Tottenham[/TD]
[TD="class: played, align: right"]18[/TD]
[TD="class: goal-difference, align: right"]5[/TD]
[TD="class: points, align: right"]30

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Teh teh teh! Ngoja aje mwenyewe
 
dah hivi vitimu vingine bwana...sijui vimetumwa...ila si mbaya..ubingwa wetu..
 
Achana nao, wapinzani wao wakubwa ni Tottenham na Everton. Si size yetu hata kidogo kwani pumzi yao haitoshi ndo mana boxing day wanapumzishwa ili wasije kusingizia kuwa wamechoka
 
Achana nao, wapinzani wao wakubwa ni Tottenham na Everton. Si size yetu hata kidogo kwani pumzi yao haitoshi ndo mana boxing day wanapumzishwa ili wasije kusingizia kuwa wamechoka

Really .... .... ..... results do not lie ... .... ....

Ndio tatizo la kuwa mshabiki ukubwani ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

BTW Wacha1 anakula krismass hivyo alikuwa anachungulia tu ... ... Merry X-mass all kwa mpigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…