Kumbe Bailly bado yupo Utd....nilishamsahau !!!Umejibu kisiasa ila poa, my opinion OGS apewe madirisha mawil zaid ya kusafisha/new signout timu itarud, falsafa yake ya kuwamini vijana inanikosha na ndio falsafa za utd, hata new signing alizofanya maguire, bissaka n james ni typical utd DNA
LVG n Mou walituulia timu, wamesajir wachezaj wengi kw pesa ndefu wasio msaada ktk timu eg Martial, Sanchez, Bailly, Lukaku, Micktaryan, Depay etc
Kikosi chetu leo, naona Martial ndaniView attachment 1284477
Hivi Pogba anarudi lini ?
Au hizi tetesi kuwa hatachezea tena Man united ni zakweli ?
Hivi kwa nini makipa wote watatu wanakuwaka kwenye matchday list??Kikosi chetu leo, naona Martial ndaniView attachment 1284477
Ole kwenye Press yake jana aliendeleza siasa na kusema kuwa Kabla ya mwaka huu kuisha tutamwona Kirusi uwanjaniHivi Pogba anarudi lini ?
Au hizi tetesi kuwa hatachezea tena Man united ni zakweli ?
SAWA MWENYE AKILI KUBWA LAKINI MJINGAHuna akili.
Hivi kwa nini makipa wote watatu wanakuwaka kwenye matchday list??
Nyie nao leo jitahidini, siyo kila siku mnateswa na jirani zenu.
Una agenda iliyojificha, huwezi kutaka tushinde kirahisi hivi
Boss hapo kwa Pereira hakiyanani ni Mara mia tuwe na Lingard maana huyu mbrazili kila anavyokuwa anapotea badala ya Ku improveLeo nina confidence,sijui hata inatokea wapi..Anyway ngoja tusubiri saa 2 unusu
I hope;
√Fred na McTominay wataendelea kukichafua pale katikati ile kiroho mbaya....McFred baby
√De Gea atakuwa active kama juzi
√Lindelof atatulia kama juzi
√Lingard ataanza kwenye nafasi ya Perreira..don't get me wrong,Lingard is not what we want but for the meantime it doesn't make any sense yeye kuanzia benchi huku Perreira akianza..
√Greenwood ataanza,Martial aanzie benchi aangalie wanaume wakipambana,siyo yeye kutroti uwanjani kibrazameni
GGMU