Ukweli ni kwamba EPL mnashinda game 1 kila mwezi ,sasa uniambie mwezi mlioshinda game 2 ,msema kweli mpenzi wa Mungu ,kwa kuwa mwezi huu game ziko saba mtashinda 2 ,moja tayari bado moja kwenye game TanoUmevurugwa na avatar yako.
Si mlisema Mou atatunyoosha hapo O.T naona mmebadiri gia Sasa.Ukweli ni kwamba EPL mnashinda game 1 kila mwezi ,sasa uniambie mwezi mlioshinda game 2 ,msema kweli mpenzi wa Mungu ,kwa kuwa mwezi huu game ziko saba mtashinda 2 ,moja tayari bado moja kwenye game Tano
Jibu swal langu,Kwa sehemu kubwa mpira wetu tunacheza counter attacking, na timu inafanikiwa tu kwa counter attacking kwa timu inayokuja kwako kukushambulia, maana wanaacha nafasi kubwa kutoka kwenye 18 yenu kwenda golini kwa mpinzani
Timu ndogo huwa hazishambulii sana, na nyingi zinapocheza na timu kubwa (kama United) huwa zinacheza pia counter attack. Kiufupi hizi timu huwa zinatumia style ya low block. Style ya low block hairuhusu counter attack (Uwanja unakuwa mdogo kwa wanariadha kama akina DJ, Martial na Rashy)
Ili uweze kuvunja defense ya timu ndogo inayopaki (inayocheza low block) unapaswa kuwa na watu watundu kama akina Hazard, Silva, Messi n.k. Au uwe na wapiga pasi zenye macho kama De Bruyne, Scholes, Pirlo n.k. Na hawa watu kwa sasa hatuna.
Mata katika kiwango chake angeweza kutusaidia, Pogba katika ubora wake anaweza kufanya hiyo kazi. Lakini kwa sasa wote hawawezi, mmoja umri umemtupa mkono, mwingine hana consistence.
Kumkosa Pogba imetu'cost sana, kiufupi timu haija'balance, tunaitaji left back, creative midfilder, striker no 9Ni matokeo ya kukosa plan B kwenye game hasa kwenye timu zinazocheza kwa kujilinda sana.
Kama tungekuwa na creative midfielder kama namba 10, na target man huko mbele matokeo yetu yangekuwa tofauti against midtable teams.
Tunahitaji walau midfielder mmoja na striker wawil timu itakuwa balanced kidogo.
Ni sahahi tena sana,kitu usichojua ni kikosi ndiyo kina mtupa mkono ila angalia game na utaelewa,kazi iliyobakia ni usajili wa baadhi ya namba mfano 10 haipo pia 9 bado ni mchanga ukilinganisha na Firmino,Lacazet,Aguero/Jesus,Vardy na Jimenez pia tunaitaji kiungo mwenye uwezo binafsi na concistency ya kuwa bora angalau mechi 7/10 tofauti na akina Scotty ambao wanachezea kujituma na nguvu(though ndio dogo nnaemkubali Man UTD maana anajituma sana)Jibu swal langu,
Kwa mtazamo wako, Sosha n mtu sahihi ktk hiz jitiada za kuirudisha utd glory days au bodi itafute kocha mwingne?
Endapo angetufunga yule angepiga kelele, vijana wamejitaidNaona ibilisi wekundu mmemzima mdomo Morinho kiaina
Ni sahahi tena sana,kitu usichojua ni kikosi ndiyo kina mtupa mkono ila angalia game na utaelewa,kazi iliyobakia ni usajili wa baadhi ya namba mfano 10 haipo pia 9 bado ni mchanga ukilinganisha na Firmino,Lacazet,Aguero/Jesus,Vardy na Jimenez pia tunaitaji kiungo mwenye uwezo binafsi na concistency ya kuwa bora angalau mechi 7/10 tofauti na akina Scotty ambao wanachezea kujituma na nguvu(though ndio dogo nnaemkubali Man UTD maana anajituma sana)
Mngepata tabu sanaEndapo angetufunga yule angepiga kelele, vijana wamejitaid
Jibu swal langu,
Kwa mtazamo wako, Sosha n mtu sahihi ktk hiz jitiada za kuirudisha utd glory days au bodi itafute kocha mwingne?
Kwani haiwezekani pogba kucheza 10...na mfumo ukabaki kama ulivyo?
Tuna kikosi kidogo, pia baadhi waliopo viwango vimeshuka eg Mata na majerui yanatu costShida ni kwamba, mechi ndogo ni nyingi, hii ndio sababu Chelsea. Hadi sasa yuko juu yetu kwa 6 points.
Umejibu kisiasa ila poa, my opinion OGS apewe madirisha mawil zaid ya kusafisha/new signout timu itarud, falsafa yake ya kuwamini vijana inanikosha na ndio falsafa za utd, hata new signing alizofanya maguire, bissaka n james ni typical utd DNAKuna makocha sahihi zaidi ya OGS, hilo ndio ninaloweza kusema
Lakini ukweli unabaki kuwa hard time tunayopitia inasababishwa na mambo mengi na udhaifu wa kocha ni sehemu ndogo ya tatizo kubwa lililopo
4-3-3 atuwekee wote wa tatu scott Fred na pogbaNamba 10 kwenye mfumo wa OGS ni kama midfielder, ni kama hamna namba 10
Labda arudi mfumo wa traditional 4-4-2
4-3-3 atuwekee wote wa tatu scott Fred na pogba
Sawa Ashura , vipi lakini ulipona Fistura?
Umejibu kisiasa ila poa, my opinion OGS apewe madirisha mawil zaid ya kusafisha/new signout timu itarud, falsafa yake ya kuwamini vijana inanikosha na ndio falsafa za utd, hata new signing alizofanya maguire, bissaka n james ni typical utd DNA
LVG n Mou walituulia timu, wamesajir wachezaj wengi kw pesa ndefu wasio msaada ktk timu eg Martial, Sanchez, Bailly, Lukaku, Micktaryan, Depay etc
4-3-3 atuwekee wote wa tatu scott Fred na pogba
Si mlisema Mou atatunyoosha hapo O.T naona mmebadiri gia Sasa.
Tulieni hivyo hivyo.
GGMU.