Alexander Lukashenko
JF-Expert Member
- Sep 9, 2017
- 4,280
- 10,052
Hiyo itafaa maana Fred ukimuondolea Scott anateseka sana mfano mechi zilizopita.Hii timu haina no 10..
Kirusi akipona apangwe hapo..Mctominay na Fred combo ishakolea kiasi fulani..
Tatizo ni kwamba hatuna namba 10,,so kirusi apangwe hapo afanye madoido yake..
Hii timu haina no 10..
Kirusi akipona apangwe hapo..Mctominay na Fred combo ishakolea kiasi fulani..
Tatizo ni kwamba hatuna namba 10,,so kirusi apangwe hapo afanye madoido yake..
No 10..Hapo wapi mkuu
Nahofia akirudi pogba nani atapisha hapo maana Scott na Fred wako poa sana aseee....labda asogee kama 10
Kwani haiwezekani pogba kucheza 10...na mfumo ukabaki kama ulivyo?Juzi kati OGS aligusia kuchezesha mid 3 ya Tominay, Fred na Pogba, nadhani kuna mtu nyuma atakuwa sacrificed (badala ya back 4, ichezwe back 3)
Umevurugwa na avatar yako.Huu mwezi kuna game 7 mtashinda 2 zingine tano matokeo yanajulikana mwendo wa droo na vipigo ,huu ndio utamaduni wenu toka August na sasa ni December
Ubaya wa Pogba sio mkabaji ukipunguza Back kwa ajili ya Pogba tuandike maumivu.Juzi kati OGS aligusia kuchezesha mid 3 ya Tominay, Fred na Pogba, nadhani kuna mtu nyuma atakuwa sacrificed (badala ya back 4, ichezwe back 3)
Chelsea, Arsenal, Liverpool na Tot zote tumepata matokeo kisha tuna struggle kupata sare au tunafungwa na palace na Newcastle sielewi kabisa haya MAGAZIJUTOTumeshinda kimasihara aisee
Ila Fred ni zinga la mido, nadhani mwanzoni alikuwa ana shida ya confidence
Nimewahi kusema kuwa kwa aina ya uchezaji wa Man wa sasa hivi, big mechi kwetu zinashindika kirahisi kuliko mechi ndogo
Huna akili.Hii Man U noma sana..Fred bonge la kiungo, nadhani Pogba anajishangaa huko. Martial auzwe tu January.
Hili naliona hata mimi.Nahofia akirudi pogba nani atapisha hapo maana Scott na Fred wako poa sana aseee....labda asogee kama 10
Chelsea, Arsenal, Liverpool na Tot zote tumepata matokeo kisha tuna struggle kupata sare au tunafungwa na palace na Newcastle sielewi kabisa haya MAGAZIJUTO
Mpira ni siasa, mechi 1 mnashinda, 3 mnafungwa na kusuluhu.Wale mashabiki wa Mou njooni Tena...
GGMU.
Lakini ajabu unaye umia ni ww sio sieMpira ni siasa, mechi 1 mnashinda, 3 mnafungwa na kusuluhu.
Ole Sendeka ana mbinu sana kuchezea akili za Watu
Sawa Ashura , vipi lakini ulipona Fistura?Mpira ni siasa, mechi 1 mnashinda, 3 mnafungwa na kusuluhu.
Ole Sendeka ana mbinu sana kuchezea akili za Watu
Chelsea, Arsenal, Liverpool na Tot zote tumepata matokeo kisha tuna struggle kupata sare au tunafungwa na palace na Newcastle sielewi kabisa haya MAGAZIJUTO
Hiw do you feel now?Aseeeeeeee Mourihno atawalamba lambaaaaa
Jumatano kipigo, jumapili kipigo ..
Dah R.I.P Man united...