Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 4, 2019 #122,021 PTER said: Mwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza Click to expand... Hatukupi
PTER said: Mwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza Click to expand... Hatukupi
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,300 Reaction score 46,749 Dec 4, 2019 #122,022 User2008 said: Kama Tominay yupo basi atleast tunaweza Fanya kitu.....ingawa kumkosa mvivu martial.....ni utata tu. Click to expand... Martial amekuwa tena dhahabu Squad depth yetu kweli tiatia maji
User2008 said: Kama Tominay yupo basi atleast tunaweza Fanya kitu.....ingawa kumkosa mvivu martial.....ni utata tu. Click to expand... Martial amekuwa tena dhahabu Squad depth yetu kweli tiatia maji
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Dec 4, 2019 #122,023 Hahaha mashabiki wa Liverpool baada ya maumivu ya 20+ years naona hiki ndiyo kipindi mnafuraha kuliko wakati wowote Don Clericuzio said: Hatukupi Click to expand...
Hahaha mashabiki wa Liverpool baada ya maumivu ya 20+ years naona hiki ndiyo kipindi mnafuraha kuliko wakati wowote Don Clericuzio said: Hatukupi Click to expand...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Dec 4, 2019 #122,024 Mwenye link ya kustream mechi yetu wadau
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,192 Reaction score 29,749 Dec 4, 2019 #122,025 Leo ni kichapo tu hamna namna.
Don Clericuzio JF-Expert Member Joined Dec 8, 2017 Posts 16,930 Reaction score 40,585 Dec 4, 2019 #122,026 PTER said: Hahaha mashabiki wa Liverpool baada ya maumivu ya 20+ years naona hiki ndiyo kipindi mnafuraha kuliko wakati wowote Click to expand... Sana mkuu, maana sasa hivi tuna shangweka balaa.
PTER said: Hahaha mashabiki wa Liverpool baada ya maumivu ya 20+ years naona hiki ndiyo kipindi mnafuraha kuliko wakati wowote Click to expand... Sana mkuu, maana sasa hivi tuna shangweka balaa.
D A E M U S H I N JF-Expert Member Joined Dec 15, 2015 Posts 22,633 Reaction score 121,022 Dec 4, 2019 #122,027 PTER said: Mwenye link ya kustream mechi yetu wadau Click to expand... mtafute chief mkwawa
Darmian JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 17,300 Reaction score 46,749 Dec 4, 2019 #122,028 Team news
Introver JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 565 Reaction score 656 Dec 4, 2019 #122,029 Darmian said: Team newsView attachment 1281895 Click to expand... Mfumo gani?
Ntalukwilasa JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 989 Reaction score 1,281 Dec 4, 2019 #122,030 Darmian said: Team newsView attachment 1281895 Click to expand... Ila hii timu imeisha kwakweli hasa ukiangalia wachezeaji walio bench..so sad kwakweli
Darmian said: Team newsView attachment 1281895 Click to expand... Ila hii timu imeisha kwakweli hasa ukiangalia wachezeaji walio bench..so sad kwakweli
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Dec 4, 2019 #122,031 4 2 3 1 kangaloo said: Mfumo gani? Click to expand...
milangomitatu JF-Expert Member Joined Nov 30, 2016 Posts 1,469 Reaction score 1,167 Dec 4, 2019 #122,032 PTER said: Mwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza Click to expand... Hahahahahahaha
PTER said: Mwenye Link ya kuangalia mechi hii atume nimechoka kuzomewa kila wikiend kwenye vibanda umiza Click to expand... Hahahahahahaha
Ntalukwilasa JF-Expert Member Joined Jun 24, 2017 Posts 989 Reaction score 1,281 Dec 4, 2019 #122,033 First eleven yote kwenye timu zinazotafta ubingwa ni wachezeaji wa bench
Introver JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 565 Reaction score 656 Dec 4, 2019 #122,034 PTER said: 4 2 3 1 Click to expand... Mbele anakaa greenwood au benteke?
capitalpool JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 22,369 Reaction score 121,267 Dec 4, 2019 #122,035 Niwatakie heri ama dua la kuku OLE atuachie timu yetu??
capitalpool JF-Expert Member Joined Sep 18, 2017 Posts 22,369 Reaction score 121,267 Dec 4, 2019 #122,036 GGMU
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,286 Reaction score 10,059 Dec 4, 2019 #122,037 Darmian said: Martial amekuwa tena dhahabu Squad depth yetu kweli tiatia maji Click to expand... Unadhani nani wa kumreplace mkuu alivyoumia tulipata tabu sana kufunga alivyorudi alileta uhai kidogo.....japo kiujumla mi hovyo tu.
Darmian said: Martial amekuwa tena dhahabu Squad depth yetu kweli tiatia maji Click to expand... Unadhani nani wa kumreplace mkuu alivyoumia tulipata tabu sana kufunga alivyorudi alileta uhai kidogo.....japo kiujumla mi hovyo tu.
dhk1 JF-Expert Member Joined Jul 22, 2013 Posts 958 Reaction score 590 Dec 4, 2019 #122,038 Nasubiria matokeo
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Dec 4, 2019 #122,039 King Ngwaba said: Naona sikihizi umeridhika na kiwango cha Martial. Ila kumbuka Kuwa washabiki wenzako wa Man United wanashauti munapoongoza usiweke Msimamo (Table). Click to expand... Leo ushindi mwanana...Tominay karudi pale kati, na ule mzigo Martial hata benchi haupo, Mungu mkubwa.
King Ngwaba said: Naona sikihizi umeridhika na kiwango cha Martial. Ila kumbuka Kuwa washabiki wenzako wa Man United wanashauti munapoongoza usiweke Msimamo (Table). Click to expand... Leo ushindi mwanana...Tominay karudi pale kati, na ule mzigo Martial hata benchi haupo, Mungu mkubwa.
Introver JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 565 Reaction score 656 Dec 4, 2019 #122,040 ARV said: Leo ushindi mwanana...Tominay karudi pale kati, na ule mzigo Martial hata benchi haupo, Mungu mkubwa. Click to expand... 🙂🙂🙂🙂
ARV said: Leo ushindi mwanana...Tominay karudi pale kati, na ule mzigo Martial hata benchi haupo, Mungu mkubwa. Click to expand... 🙂🙂🙂🙂