Pengine ni kukosa concentration kwenye mechi yote (90 minutes)
Pengine ni kukosa pumzi, kukosa fitness ya kutosha kwa wachezaji na kuchoka mwishoni
Pengine ni utoto (wachezaji kukosa uzoefu) kwa kudhani mechi imeisha, hapa nakumbuka zaidi mechi yenu na ya Arsenal
Pengine ni kumtathimini kocha kukosa mbinu za kumaliza game (sidhani kama Jose anaweza kupoteza uongozi wa mechi mara nyingi kiasi hicho)
Hii ni mifano tu