Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,851
Karibu liverpool team sio kabila broh anguWhat a shit perfomance??
Are we going foward,stacking,or we are moving backward??..hatueleweki kabisa
Hii timu imejaa ujinga ujinga mwingi sana..
Kwenda kucheza europa msimu ujao tutashindwa mchana kweupe kabisa..
Ole anaona wachezaji wanacheza ushubwada,kenyewe kamekunja nne kanasugua tu magoti..Fuc.k
Tukutane Ijumatano sasa.Nikaendelea kukazia palepale Ole Soksi hafikishi Christmas akiwa Manager wa United na akicheza vibaya hizi mechi 3 Aston villa, Tottenham, Manchester city wataondoka na kichwa chake.
inakera sana, natamani jamaa ajijengee CV nzito pale klabuni akiwa kama mwalimu lakini dalili njema zinazidi kufifia.Mechi ambayo unatakiwa ushinde unazipoteza kizembe kabisa.
mechi kubwa tunajikazaNa jose atatuchapa goli za kutosha yani
Tumewapumzisha Ili tucheze leo tushinde, badala yake tumeponea chupu chupu kuchapwahuwezi kama tumepumzisha takribani wachezaji 12 mechi ya juzi dhidi ya astana
Naskia kuna kocha amefukuzwa kazi leo , ni kocha wa timu gani pale Uingereza kwenye EPL?huwezi kama tumepumzisha takribani wachezaji 12 mechi ya juzi dhidi ya astana
inakera sana, natamani jamaa ajijengee CV nzito pale klabuni akiwa kama mwalimu lakini dalili njema zinazidi kufifia.
Naskia kuna kocha amefukuzwa kazi leo , ni kocha wa timu gani pale Uingereza kwenye EPL?
huwezi kama tumepumzisha takribani wachezaji 12 mechi ya juzi dhidi ya astana
Matokeo ya wikiend hii yalikuwa favourable sana kwetu kama tungeshinda mechi yetu tungepanda hadi nafasi ya tano kwenye msimamo tukasubiria mechi ya totenham kuanza kujivuta huko juu.huwezi kama tumepumzisha takribani wachezaji 12 mechi ya juzi dhidi ya astana
Watford. Ole atoleweNaskia kuna kocha amefukuzwa kazi leo , ni kocha wa timu gani pale Uingereza kwenye EPL?
Nimepitia page ya Man u ya fb , fans wamechachamaa hasa sio kitoto
View attachment 1278817View attachment 1278818View attachment 1278819View attachment 1278820
watford wamemfukuza kocha wao...Naskia kuna kocha amefukuzwa kazi leo , ni kocha wa timu gani pale Uingereza kwenye EPL?
kinachoumiza ni kule kupoteza points dhidi ya timu ndogoHakukuwa hata na sababu ya kuwapumzisha hawa wajinga sasa ndiyo kucheza gani kule ?