The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 34,141
- 102,801
Ni kutokujiamini tu.Hii ilinishangaza sana, jana nilipoona kaanza Phil Jones nikasema lazima atoe assist ya kutuchomesha, kila akienda kukaba lazima adondoke au licheze faulo jinga sana lile jamaa.
Ole mwenyewe sijui alikuwa na plan ipi kuanza na three defenders wakati timu anayokutana ni underdog.
Ni kutokujiamini tu.
ni kweli mkuu game ya jana Ole ndio aliefanya tufungwe zile goli hamna cha comeback wala nini game tunabahatisha tu....Siyo kutojiamini huyo jamaa huwa anacheza hovyo sana nyama uzembe halafu linataka litumie nguvu matokeo yake linatoa maboko.
To be Frank Ole jana alituangusha ile mechi
mimi nimsamehe solskjaer? mtu aliefanya nipoteze mil 3 laki 779 kweli nimsamehe? nmeumia sana fvck him.....
ni kweli mkuu game ya jana please ndio aliefanya tufungwe zile goli hamna cha comeback wala nini game tunabahatisha tu....
Pole sana ndugu yangumimi nimsamehe solskjaer? mtu aliefanya nipoteze mil 3 laki 779 kweli nimsamehe? nmeumia sana fvck him.....
Maisha ni kama Gwalide ukiambiwa nyuma geuka wa Mwisho ana kuwa kwanza wa Kwanza anakuwa wa Mwisho...
.Imagine leo hii Manchester United Fans wana Celebrates a draw with Sheffield United.
Liverpool tumeshinda mechi 12 za EPL mpaka sasa Michezo ambayo ni sawa na mechi walizoshinda MANCHESTER UNITED + ARSENAL + TOTTENHAM
Next ni Brighton Karibuni ANFIELD kwa burudani yeyote atakayobeba jipendekeza kwa Majogoo tutalqla nae mbele.
Pole mkuu, ila huoni kama VAR ipo kwa ajili ya Liverpool na Spurs
Goli la kwanza la Sheffield, japo Jones ana mchango wake, lakini yule forward wa Sheffield alimsukuma kiaina. That was a foul VAR were to be consulted. Goli la kusawizisha la Sheffield pia lina walakini.
Imagine leo mashabiki wa timu nyingine wanaamini Man Utd kaishapigwa halafu baadae wanaona hata draw inatosha
Nikumbushe tu, hawa Sheffield walimpiga Arsenane, wakampiga Spurs, wakapigwa na Liverpool goli moja ambapo na kipa alitoa zawadi
anabahatisha mkuu na wachezaji muda mwingine wanamuokoa ila hana kitu cha utofauti kabisa3 4 3 vs 3 5 2 halafu unamidfieled zilizochoka namna ile upate ushindi ?
Huyu Ole sina imani nae tena hata apewe miaka mia ana kubahatisha tu
Asante mkuu inaumiza alafu jamaa anafanya majaribio ya formation za ajabu ajabuPole sana ndugu yangu
VAR haichezi mpira uwanjani.
Kwani Phil Jones hakuwa na option yoyote ya kucheza ule mpira mpaka adondoke kwa simple push kama ile ?
Goli la Pili Maguire alizembea kuucheza ule mpira matukio kadhaa niliyoyafuatilia yanMaguire he is not good on one vs one situation.
Mkuu nilikuwa naimani na ole ila mwisho wake unakaribiaHatupaswi kujilinganisha na Arsenal na Tottenham their dreams are different from ours.
They are London babies and we are Man United.
They are used to defeats from low profile teams.
Tunapaswa kupata ushindi kwenye hivi vitimu vidogo vidogo ili tunapokutana na title contenders tuwe na confidence na motivation to fight hata ikitokea you loose points hauachwi mbali sana.
The technical bench should know this unless they want to be sacked before chrismass.
I bet the next three games will kick them out from their job.
Hapa man u akijitahidi sana ataondoka na point moja tu. Subiri uone...Mechi 3 zijazo za Man Utd kwenye EPL
Man Utd Vs Aston Villa
Man Utd Vs Spurs ya Mourinho
Man City Vs Man Utd
unazi uliopitiliza ndio utakaomuangusha ole gunnar solskjaer hata kama atadumu klabuni kwa miaka mitatu kama ulivyo mkataba wake itamuwia vigumu kupata mafanikioMkuu nilikuwa naimani na ole ila mwisho wake unakaribia