Hapa ndo utajua ukomavu wa kocha.. Haya mabadiliko hayakuwa ya lazima maana tulikuwa na dakika tano tuu.. Kocha amefanya makosa pamoja na washauri wake.
Acheni zenu nyie Lalana alivowasawazishia goli siku ile mbona mlishangilia kwani haikua draw? Au mkishangilia nyie ni sawa ila sisi sio sawa, kuna scenario za mechi zinakufanya ufurahie hata ile alama 1 uliyoipata than kupata nothing