mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,177
Naona mnajaza ka-jeshi kakukodi tu, msikimbie wakati wa mpira muwe live mpate vidonge vyenu ... ... ... ... nasikia Inzi kaanza kuadimika na mtoto wa shamba anaanza kutapatapa chijui BJ atatokea J2 oops atakuja baada ya maumivu kwi kwi kwi ... ." nilimpa salam kwa Eqlpzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz kule ICU khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee waulizeni Chelsick ati wao wanacheza mpira kwa majina . ... ... ... ati mwaka huu watapata Oscar khe khe kheeeeeeeeeeeeee thubutu!
Carlos hatishi sana mi namuoga Djeko.Belo, Manda, Nzi njoeni basi mambo yenu sio mabaya mmekutana na vibonde wenzenu ombeni Carlos aendelee kukaa benchi ... ... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee wapi Mfarisayo naona BJ analog in ... ... ... Nasikia Ndetichia ame-log off ... ... ...