Hii timu kila dirisha inasajili, halafu outcomes ni kushika nafasi ya 6 na 7 mwisho wa msimu.
Ishu ni kusajili wachezaji? Ishu ni kocha? Ishu ni mgt? Hamueleweki.
Rashford goli 6 assist 1 kwenye mechi 6 zilizopita. So far michuano yote goli 11 na Assist 4.
Ollachuga Oc
Kabisa mkuu but na kocha wetu nae anatakiwa acheze vizur na selection maana Scott na Fred wanafanya kile ambacho binafsi nakifurahiaSema mwezi September na October haukuwa mzuri Kwake ila naona anaanza kurudi katika form.
Hope next games atafunga pia tuombe Mungu na Pogba arejee mapema pamoja na midfielders wetu waendelee kuwa form.
Anaenda wapi?Pogba si anaondoka?
Kabisa mkuu but na kocha wetu nae anatakiwa acheze vizur na selection maana Scott na Fred wanafanya kile ambacho binafsi nakifurahia
Ningekuwa na nafasi ya kumshauri sosha ningemwambia aweke nje Pereira alafu 10 awekwe pogba
taifa starz inacheza mpira mzuri kuliko united yangu.....
Toka Martial alivyorudi kuna uhai ameuonyesha huyu Rashford..Rashford goli 6 assist 1 kwenye mechi 6 zilizopita. So far michuano yote goli 11 na Assist 4.
Ollachuga Oc
Hahaha nimesikitika sana nilipoona comment yakeAcha kuifananisha United na vitu vya ajabu
Acha kuifananisha United na vitu vya ajabu
Nilimwambia mimi rashford goli 15 ni rahisi zaidi kuzifikia na kupita moja ni kwa sasa yeye ndio mshambuliaji wetu tegemez iwe jua au mvua lazima atapambana kufunga hamna wa kumsaidiaRashford goli 6 assist 1 kwenye mechi 6 zilizopita. So far michuano yote goli 11 na Assist 4.
Ollachuga Oc
Mi mwenyewe nafikir hivyo hivyo pereira ampishe pogba kidogo fred na scott wabak palepale pogba apewe 10Kabisa mkuu but na kocha wetu nae anatakiwa acheze vizur na selection maana Scott na Fred wanafanya kile ambacho binafsi nakifurahia
Ningekuwa na nafasi ya kumshauri sosha ningemwambia aweke nje Pereira alafu 10 awekwe pogba
Hahaha kirusi kweli naye sometimes ana bwembweYawezekana yeah sasa hatuwezi jua kama Pogba atafit kwenye hiyo role maana yule Mshenzi haeleweki sometimes
Anhaa ndio maana Man U hatuelewiki tutashinda lini na tutafungwa lini hasa pogba akiwaga fit coz muhuni hueleweki .ππππHahaha kirusi kweli naye sometimes ana bwembwe
Kirusi kuna muda anaboa hadi mtu unatamani uingie kwenye TV umpe vitasaHahaha kirusi kweli naye sometimes ana bwembwe
Kirusi kuna muda anaboa hadi mtu unatamani uingie kwenye TV umpe vitasa
N
Anhaa ndio maana Man U hatuelewiki tutashinda lini na tutafungwa lini hasa pogba akiwaga fit coz muhuni hueleweki .ππππ
Kwangu bola ni jue kuwa mchezaji wangu ni baridi/mbovu kuliko vuguvugu/haeleweki/ Sina uhakika na kiwango chakeYaan kwa mambo anyofanya dyabala sa hivi pale Turin mpaka kuna wakati huwa nataman watupe pesa kidogo na yule kijana lkn pia upande wa pili wa moyo wangu unagoma maana EPL nayo ina mengi
Tatizo haikuwa mshahara, Walikubaliana mshahara. Tatizo ni Agent fee aka mkataba wa biashara wa Dybala ambao akiondoka Juve inabidi awalipe wahusika. Hata Spurs walikubaliana Na dybala na wao wakashindwa hapo hapo tuliposhidwa sisi.Dyabala alikuwa atue man dirisha kubwa la juzi, tatizo alitaka mshahara mkubwa 650 kwa wiki.
Mourinho alisemaga moja ya weakness ya Victor ni huwa anakuwa bullied na mipira ya juuVictor sijui anashida gani yani mipira ikija ya juu anapagawa kabisa hawezi kuiwin.
Hahaha kirusi kweli naye sometimes ana bwembwe
N
Anhaa ndio maana Man U hatuelewiki tutashinda lini na tutafungwa lini hasa pogba akiwaga fit coz muhuni hueleweki .