Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,225
- 44,218
Mimi ndio nilisema mkuu wamebadilishwa jukwaa ndio, zile siti za nyuma wame expand staff na kuna nyengine zipo reseved kwa BT.Hili suala lililetwa humu kuna mdau alisema walihamishwa jukwaa.
Mimi ndio nilisema mkuu wamebadilishwa jukwaa ndio, zile siti za nyuma wame expand staff na kuna nyengine zipo reseved kwa BT.
Hawa hapa Nyuma ya kocha
saa 5 usikuGame muda gani wakuu?
Link ya lustream hii game tumeni hapa
Duh mbona ya matusi
Dstv hawaonyeshi?Link ya lustream hii game tumeni hapa
Hawaonyeshi mkuu..startimes ndo wanaonyesha hii michuanoDstv hawaonyeshi?