Manchester United (Red Devils) | Special Thread


RvP was made for Manchester United loser!
 

Attachments

  • a7a05aa157dcbc03307f0002f7a59ae2.jpg
    48.6 KB · Views: 20
Tupeni matokeo bana wacha neni na utukutu, huku kwetu wamekata umeme khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Tupe wewe si ndo umekaa karibu na TV!! si tupo mbali hatuoni vizuri
 
Nzi mtotowamjini na mfarisayo,

Pamoja na hayo lakini kumbuka huko nyuma tulikuwa na Brown na Oshea ambao ni mabeki wa kawaida but defence haikufungwa kiasi hiki,tunafungwa sana magoli ya set pieces .Kwa sasa sio wakati wa kumuamini sana Vida kwani anaweza umia anytime
 
Last edited by a moderator:
Nzi mtotowamjini na mfarisayo,

Pamoja na hayo lakini kumbuka huko nyuma tulikuwa na Brown na Oshea ambao ni mabeki wa kawaida but defence haikufungwa kiasi hiki,tunafungwa sana magoli ya set pieces .Kwa sasa sio wakati wa kumuamini sana Vida kwani anaweza umia anytime
 
Last edited by a moderator:

Ndiyo maana nikasema ni vyema tununue beki 4 na 5 wakali. Kombinesheni ya Rio na Evans si ya kutegemea sana.
 
Last edited by a moderator:

sasa hivi premier league ni ngumu aisee, angalia chelsea wamepigwa bao 3 leo arsenal 2 man city wamedraw....joint top scorer ni michu wa swansea...niambie miaka ya nyuma ungeweza kuona top scorer wa PL anatokea timu kama swansea? PL saivi ngumu sana..inabidi tubanane hivyo hivyo...we have to improve on our defence evra utumbo we need another left back and a centre back wa kumtoa RIO...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…