Manchester United (Red Devils) | Special Thread

√Hiki kinachotokea ndo kile tunacholia nacho kila siku..consistency..Martial anacheza mechi moja vizuri nyingine hovyo..Tunahitaji No 9 wa kueleweka

√Sijawahi kumkubali Perreira..ni bora kwenye kitu gani??..Tunahitaji play marker ambaye pia anaweza kutoa key passes za uhakika

√Kuna watu wanamlaumu sana Fred ila mimi naona anapambana anapass foward,anatuliza timu n.k..anamiss kitu kwenye kukaba,anakuwa na Papara..

√Hii timu bila Pogba hatuwezi kabisa kutengeneza nafasi za kueleweka..Tunaomchukia huu ukweli lazima utuume

√On and Off thus our mood this season..leo sherehe kesho msiba..inabidi tuzoee tu,no way
 
Hii ndio timu yetu lolote likitokea sawa kauli mbiu tunajenga timu
Tatizo sio kocha wala wachezaji, wachezaji baadhi yao ndio mwisho wao wa uwezo,
Mimi nafikiri kwakweli mtendaji mkuu na wamiliki akina blazers wote ni nyumbu, wao ndio tatizo la man utd, wanaangalia kujinufaisha wao na matumbo yao,
Ninaomba usiku kucha dili la waarabu matajiri wa kutupwa kuchukua hii timu
 
4 2 3 1 ya Ole imefeli ila hataki kubadilika.
Mechi tatu alizoshinda hakutumia huu mfumo wa Wenger.

Hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…