Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Maguire kasababisha goal la kusawazisha la Chelsea,
Beki zipo kama 5 hivi zina msindikiza jamaa.
Kazingua sana jana cant forgive him.
 
Kwa sasa hawa ndo wachezaji wetu,
OGS ndo kocha wetu
Man United ndo timu yetu

Timu inajengwa taratibu tayari tushaanza kupata wacheji mmoja mmoja ambao wanastahili kuvaa ule uzi i hope na wengine wataendelea kupatikana

GGMU
Nmependa hii comment.
 
Scott ni hatari sana yule dogo, anajua kukaba na kuanzisha mashambulizi.
hata dogo William jana amecheza vzr pia.. Martial ndio bado analeta urembo vitani.
William namuamini sana kuliko shaw kwa sasa utasema ana miaka 18 kwenda mbele ndo kwanza kana 17
 
Ndugu uwe na heshima kwa ajax nadhani habari yao unayo sio suala la kuwataja taja juventus na Madrid sio team za mchezo kuinama mbele yao
 
Ndugu uwe na heshima kwa ajax nadhani habari yao unayo sio suala la kuwataja taja juventus na Madrid sio team za mchezo kuinama mbele yao
Wapi nimeonesha kuwadharau? Kwamba muwaonee ndio kuwakosea heshima kwamba hamna timu inayoionea timu nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…