Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,993
Wenyewe mtaa huu mko wapi? Niko bush nikadhani hapa nitapata updates kumbe hola!
mtotowamjini na mfarisayo hata ninyi mko kimya?
Naona kama kawaida tunaruhusu magoli mapema
Carlos Quirez alikuwa mzuri sana kutengeneza defence huyu Mike Phelan hana lolote