interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Rashford ana goli 8 (michuano yote) bado goli 7.
Magure ana umwamba gani nakati Batshuayi alimfanya uchochoro kusawazisha goli katikati ya mabeki wa3?1. Maguire muache tu ni mwamba
2. Rojo ni muhuni wa South America huko, nampenda anacheza jihad. Wale maforward wasumbufu anawapoteza sana, natamani amkabe Sterling. Anawatuliza mastriker wanaacha papara.MZURI SANA, HAREMBI.
3. RASHFORD NI MOTO.
4.MARTIAL AKATAFUTE TIMU NYINGINE, Timu kama Southampton itamfaa zaidi.
Kama umeangalia game ya Leo hapa utakuwa tu umemuonea Fred,,pasi leo kasambaza vizuri tuNimeshangaa Fred unamsifia kwa mechi moja hii amejitahidi kidogo. Ila anatoa "maboko sana" hajui kunyoosha mipira ya pasi.
Arubaman huyu jamaa ana utani na wana
Eti anasema Arsenal ni timu ya aina gani? na ifanywe nini?
Watu wana maneno sana hapa, ila mimi ni nani nipingane naye
rubaman huyu jamaa ana utani na wana
Eti anasema Arsenal ni timu ya aina gani? na ifanywe nini?
Watu wana maneno sana hapa, ila mimi ni nani nipingane naye
Kama umeangalia game ya Leo hapa utakuwa tu umemuonea Fred,,pasi leo kasambaza vizuri tu
Waingereza kwa domo tu daaah...Marcus again.... Chelsea 1 - 2 Man Utd
Watangazaji wanasema linaweza kuwa ni goal of the season
Yes kaka... La willock hatari aiseeSema goli zile zilikuwa za ukweli,,Chamberline,Origi na Willock
Oyaa.. Mmepigwa hadi na manyumbuHahahahahahaha punguza mbwe mbwe.
Toa wewe usiyejua hata penalt inahitaji Uwezo.Ebu toa goli za penalty alizofunga Rashid Makame tujue anazo ngapi za uwezo binafsi
Sawa? Mwantesa Utd fanToa wewe usiyejua hata penalt inahitaji Uwezo.
Nenda ulifute ubao usome 1-1 ... Caraghabao wewe.
Chelsea mliyopiga goli 4,na Chelsea ya Leo ni tofauti kapisa.
Tukiweka ushabiki pembeni huo ndo ukweli.
Muda sio mrefu litathibitika hilo.
Hawa jamaa tunapiga leo
Aise sahau hata draw hamupati pale ...tena tunawapa wale watoto wa academy wakina Gilmour..
Tulia wewe mbugilaWaingereza kwa domo tu daaah...
Sasa goli walilosawazisha Burnley dhidi ya Chelsea litakuwa goli la miaka au karne?
Vipi goli la 3 alilofunga Pulisic?
Vyombo vya habari vya UK ndivyo huwa vinaharibu wachezaji wao kwa sifa za kijinga
angalau unaona kuna muunganiko sehemu ya kiungo wakati wa kukaba na kushambulia mkuu.Fred na The mad-dog "Scott" wanakukosha sio??