Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nimewashangaa sana..yaani jamaa tumewakamata kinoma kwenye ile mechi na kama Ole angezidisha mtu mmoja kwenye midfield tulikuwa tunachukua point zetu tatu
Tunaisubiri hiyo Tactical ije ifanye kazi tena ANFIELD.
 

Najitapa mimi tena? Unataka kuuaminisha umma kuwa mimi Ndiye mmiliki wa FA na Barclays kwa ujumla?
Au unataka kuuaminisha umma kuwa mimi ndiye Moderator wa App ya Barclay? Coz takwimu zipo kwenye App & Website ya Barclay!

Nyinyi mumeweka hisia! Mimi nimeweka Stats, Then unasema ninajitapa! Haya bhana.

Enewey! Ratings ni kitu cha mwisho kwenye mpira kwani kila Mtu anarate kulingana na alivyouona mpira! Huyo Admin wa SkySports ameweka ratings zake kulingani na alivyoona! Ukienda kwenye sites nyengine utakuta ratings tofauti! Kila Mwandishi anaweka ratings zake anavyopenda na Ndiyomana sijakuletea ratings za Echo hapa kwasababu wamewarate wachezaji wa Liverpool rate kubwa kulingana na Walivyoona mpira.

Kwahiyo SkySports has nothing to do kwenye football linapokuja suala la Stats za uwanjani.
 

Muda wa Majigambo ya Ngojera umeshapitwa na wakati. Leta Stats hapa as a backup kwa unayoyasema. Tutajuaji kama Tactically alikuwa bora wakati hapana backup yoyote ya Kuprove hilo?

Only stats speak! Period

Halafu kwani hapo Mulichozidiwa ni Possession tu? Shots? Chances created? Attempts? Passes? Au unajitia upofu?

Prove me wrong baada ya kuleta Stats, Nothing else
 
Kubali kataa liverpool vs man u tactically Ole alimzidi klop.

Haya sio maneno ya Kimpira Kuwa Mtu kama wewe.

Lete stats hapa tuone huko kuzidi kwake ni kupi?
Mimi sikuhizi si Mtu wa kudeal tena na Majigambo! Ninatembea na Stats tu!

Lete stats tuthibitishe unachokisema! Huna stats basi tuishie hapa kwani Mjadala (Discussion) bila ya Facts (Stats) ni Mabishano (Argument) jambo ambalo halina faida yoyote kwa wewe wala Mimi.
 
Sasa tubase kwenye hizo stat zako..

Mbona hukushinda??,,na we all know mlikuwa favourite kwenye huu mchezo
 
Achana na stats, mara ngapi timu zimefungwa huku zikiwa zinaongoza kwa hizo stats? Hivi Man City akifungwa, huwa ni kwa kuwa alizidiwa stats? Jifunze kuhusu ball tactics uielewe ni kitu gani ndipo urudi.
 
Tactically ile game mlichemka..klop alibaki kulialia tu ka mwendawazimu

Possession na mambo mengine hayo hayana umuhimu na nitofauti kabisa na tactics

Kama nyote mumefanana maelezo basi niwambie haya tu.

Bora niishie Hapa before too late nisijeingia kwenye endless argument.

Tufanye you're right nyote
 
Achana na stats, mara ngapi timu zimefungwa huku zikiwa zinaongoza kwa hizo stats? Hivi Man City akifungwa, huwa ni kwa kuwa alizidiwa stats? Jifunze kuhusu ball tactics uielewe ni kitu gani ndipo urudi.

Sirudi tena Mkuu umeshinda
 
Sasa tubase kwenye hizo stat zako..

Mbona hukushinda??,,na we all know mlikuwa favourite kwenye huu mchezo

Mimi nimeshaacha huu Mjadala! Nikubali tu hatukushinda kwasababu hatukuwa na uwezo. Period
 
Niletee hizo ratings zinazoonesha kwamba wachezaji wa liverpool walicheza vizuri zaidi.
 

Basi sawa tusubiri pale anfield itakuwaje
 
Wazee wa Mbwe mbwe jumatano tunawanyoa kwa chupa...

#nyiekukuniwetu

Kila la kheri Chelsea
 
Sirudi tena Mkuu umeshinda
Hakuna aliyeshinda na aliyeshindwa, tunabadilishana uelewa.
Hapo juu ni screenshot ya mechi ya Norwich City na Man City, ukiangalia game stats, Man City alikuwa na possession ya juu kuliko Norwich. Lakini kwenye ushindi, Norwich ndiye aliyeshinda. Kumbe kilichomfanya Norwich ashinde, siyo stats bali mbinu za mchezo almaarufu game tactics .
 
Basi sawa tusubiri pale anfield itakuwaje
Wakati tunasubiria hio mechi ya Anfield, tujikumbushe kwamba Klop kaifunga Man U mara 1 tu tena wakati tuna Mgogoro wa mou, na ukitoa Goli la lalana la juzi last time liverpool kuwafunga man U open play pale theatre of dreams ni lile goli la benteke, hivyo tukisubiri hio mechi fanya Homework benteke alicheza lini Liverpool,
 
Mkuu King Ngwaba niongeze stats za mechi za nusu fainali UCL msimu wa 2018/19.
1. Mechi kati ya Tot na Ajax, stats zilim-favor tot, lakini mshindi akawa Ajax.

2. Mechi kati ya Barcelona na Liverpool, kama ball possession ingekuwa kila kitu, Liverpool angeshinda. Lakini licha ya kuwa juu kwa ball possession, Liverpool alichabangwa goli 3 kwa nunge.

3. Mechi kati ya Liverpool na Barcelona. Barcelona aliupiga mwingi sana, lakini aliishia kugaragazwa 4 bila majibu.


Kuumwa na kulazwa hospitalini hakumaanishi ndiyo unakwenda jumla. Ndivyo ilivyo na kwenye mpira. Chenga nyingi lakini goli tunawafunga.
 
Kwamba wewe ndio utuambie mwisho wa kujadili jambo flani kwenye uzi wetu?

Nenda kwenye Uzi wenu ukawapangie akina Malafyale sijui nani

Hata chengesha bwege ina possession kubwa, lakini hoja ya Chief, PTER et. AL ni ufundi, mipango, game plan, mbinu (kulingana na wachezaji waliokuwepo, matazamio ya mechi n.k) OGS alimfunika Klop
Mimi nimeshaacha huu Mjadala! Nikubali tu hatukushinda kwasababu hatukuwa na uwezo. Period
 
Hawa jamaa wangekuwa wanaongoza ligi tungehama mitaa kushinda kamechi kamoja wanajiona wana timu nzuri sana.
Hivi kuna timu iliozoea kubeba makombe uingereza kuliko man u? Man U hii mbovu na makocha wote wana makombe moyes kachukua, lvg, Mou bado na Ole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…