Duh...bwana Makame RashidKuongezea tena
Marcus Rashford has been directly involved in more league goals in 19/20 (8) than: Aubameyang (7), Griezmann (7), Benzema (7), Mbappé (7), Kane (7), Werner (6), Depay (6), Firmino (6), Mané (6), Ronaldo (5), Suárez (5)
Kwa shaw naungana na wewe dawa yake ipo jikoni na imechemka ni kinda toka kwenye academy william blandon shaw na young watafute shughuli ya kufanya huyo bwana mdogo ni noma naweza sema toka evra asepe walau tunaweza kupata mtu sasaRadika, Huhitaji kuwa na kiungo kizito sana ili uwe na timu nzuri asikudanganye mtu kinachoamua sana mechi ni defence na stricking force yako katikati unapaswa kuwa na watu wasiofanya makosa makosa tu basi mfano mzuri angalia kosa moja tu alilofanya Scott jana likawapa Norwich goli. Nimefuatilia michango yako kuna kitu muhimu sana unashindwa kuona upungufu wa timu yetu mpaka sasa timu iko sawa kabisa tuna uwiano mzuri sana kiufundi. Mapungufu makubwa timu haina mshambuliaji wa uhakika pale mbele ambaye anaweza kuamua mechi sio kati ya Marcus au Anthony au Daniel wote hawa kusema ukweli ni wachezaji wa kawaida sana ukitaka kujua hili waangalie vizuri hawana movements za kishambuliaji hutegemea zaidi mabeki wa timu pinzani wafanye makosa na hata wakipata nafasi wanatumia chache kulinganisha na walizopoteza. Kuna mtu aliweka hoja kuwa mipira inawafikia michache kitu ambacho si kweli muda mwingi utaona mipira mingi inakua blocked na mabeki kabla hata haijawafikia muda mwingi wanaji-position nyuma ya mabeki wakisubiri wakosee.
Pendekezo langu kuelekea dirisha dogo la usajili ni kheri tumlete kati ya Mario Mazundkic au Edin Dzeko au Ibra Cadabra ili waje wamalize msimu na hawa machalii kufix tatizo kwa muda mfupi pale mbele la si hivyo hatuendi popote na hawa madogo hawana uwezo wa kuipeleka timu big 4. Kutatua tatizo kwa muda mrefu tutahitaji mshambulizi ambaye umri haujasogea sana kama Harry Kane.
Pendekezo langu la mwisho tunahitaji beki wa kushoto Luke hafai kabisa ni injury prone hawezi kucheza mechi 10 mfululizo bila kuumia ni muda sahihi sasa kuziba nafasi yake nimeshtuka tokea amefika 2014 kati ya mechi 200 za ligi kuu mpaka jana amecheza mechi 75 tu. Hapa kama Ole anataka mtu mzito kweli amchukue Benjamin Chilwell kutoka Leicester.
Kuongezea tena
Marcus Rashford has been directly involved in more league goals in 19/20 (8) than: Aubameyang (7), Griezmann (7), Benzema (7), Mbappé (7), Kane (7), Werner (6), Depay (6), Firmino (6), Mané (6), Ronaldo (5), Suárez (5)
Uliwaona walivyoua midfield ya liverpool ?
Mimi naona wakicheza pamoja mara nyingi wanaperform ndiyo maana nikasema midfield yao inaanza kuwa na muunganiko mzuri kiuchezaji.
Siku utakayokanyaga Nyasi za Anfield nakuomba uje urudie maneno hayahaya
Kuongezea tena
Marcus Rashford has been directly involved in more league goals in 19/20 (8) than: Aubameyang (7), Griezmann (7), Benzema (7), Mbappé (7), Kane (7), Werner (6), Depay (6), Firmino (6), Mané (6), Ronaldo (5), Suárez (5)
Ismaila Sarr je anafaa kuja kucheza winga moja wapo Manchester United
Mechi zote za Man united huwa siachi kuangalia haijalishi timu inacheza vipi.
Siku ile tactically 75% tuliwazidi nasubiri game ya Anfield itakuwaje
| Man Unite | Liverpool | |
| 32 | Possession | 68 |
| 7 | Shots | 10 |
| 2 | Shots On Target | 4 |
| 509 | Touches | 842 |
| 299 | Passes complete | 652 |
Muda mwingine mtu huamua tu kujitoa ufahamu,Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!
FT:
Man Unite Liverpool 32 Possession 68 7 Shots 10 2 Shots On Target 4 509 Touches 842
View attachment 1247844
299 Passes complete 652
Muda mwingine mtu huamua tu kujitoa ufahamu,
Hawa skysport wanaumwa pia haiwezekani wawarate wachezaji wa liverpool 5 na 6 na wawape man u 6 7 na 8 wakati king ngwaba anajitapa walicheza vizuri na wana possesion kubwa.Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!
FT:
Man Unite Liverpool 32 Possession 68 7 Shots 10 2 Shots On Target 4 509 Touches 842
View attachment 1247844
299 Passes complete 652
Naona shida ya hao jamaa dully jr na mwenzake King Ngwaba wanashindwa kutofautisha ball possession na neno tactically . Wanafikiri kila anayeongoza ball possession ndiyo huibuka mshindi. Wajifunze kwa Diego Simeon, Mourinho na hata Alex Ferguson, mpira hawaposses sana, Ila kwenye matokeo sasa.Hawa skysport wanaumwa pia haiwezekani wawarate wachezaji wa liverpool 5 na 6 na wawape man u 6 7 na 8 wakati king ngwaba anajitapa walicheza vizuri na wana possesion kubwa.
Manchester United 1-1 Liverpool player ratings: Marcus Rashford the top performer
Adam Lallana came off the bench to cancel out Marcus Rashfords first-half goal at Old Trafford on Super Sundaywww.skysports.com
Kubali kataa liverpool vs man u tactically Ole alimzidi klop.
Ivi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!
FT:
Man Unite Liverpool 32 Possession 68 7 Shots 10 2 Shots On Target 4 509 Touches 842
View attachment 1247844
299 Passes complete 652
Muda mwingine mtu huamua tu kujitoa ufahamu,
Mkuu, kuna watu huwa wanaenda kuangalia mpira, Ila ninahisi huwa hawajui hata wanafanya nini muda huo. Ni sawa na wale wakifungwa wanasusa hata kuangalia mechi.Mpira wenyewe hujui
Mkuu, kuna watu huwa wanaenda kuangalia mpira, Ila ninahisi huwa hawajui hata wanafanya nini muda huo. Ni sawa na wale wakifungwa wanasusa hata kuangalia mechi.
Tactically ile game mlichemka..klop alibaki kulialia tu ka mwendawazimuIvi Mimi na wewe tuliangalia Mechi tofauti au?
Mapenzi Mengine bhana!
FT:
Man Unite Liverpool 32 Possession 68 7 Shots 10 2 Shots On Target 4 509 Touches 842
View attachment 1247844
299 Passes complete 652
Nimewashangaa sana..yaani jamaa tumewakamata kinoma kwenye ile mechi na kama Ole angezidisha mtu mmoja kwenye midfield tulikuwa tunachukua point zetu tatuMkuu, kuna watu huwa wanaenda kuangalia mpira, Ila ninahisi huwa hawajui hata wanafanya nini muda huo. Ni sawa na wale wakifungwa wanasusa hata kuangalia mechi.