Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Teh teh teh ... furaha iliyoje. Mzee wa kazi, haupo UEFA msimu huu wala uliopita haukuwemo na hata huo ujao hata Europa ni gambling. We are not on the same level. Malizana na Party huko kwanza, ukaambue sare maana ndo ushindi wenu nowadays.
 

Watu wanakuwa Magenius kweli katika ubunifu wa mambo
 
Sasa Origi utamfananisha na Pepe?maana lengo lake na yeye ilikuwa kujifananisha mpaka rasta kanyoa ila wapi.....Origi ni Miraji Athuman anayeishi Europe
Pepe ana kitu gani haswa?? Ukosefu wa nguvu za miguuni au?
 
Kumbe kushiriki uefa ndio timu kubwa mashabiki uchwara hawa liverpool upo wewr na mwenzio jina nimemsahau huwez kukuta upupu kama huu kwa wakina king ngwaba
Kumbe jamaa uko empty sana boss. Hakuna timu barani ulaya ambayo ni kubwa na isiwepo UEFA over and over, Kushiriki ni moja ya an indicator of how giant you are.

So you are here comparing Red Star na Partizan na Az Alkmaar ilokutoa kamasi juzi?
 
Hii game bila kuingia Daniel James hatupati matokeo. Hii timu ni mbovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…