Kwa akili yako unadhani Bayern watamuuza? Au huyo Lewandowski atakubali kuja timu inayoshuka daraja?Hivi Man. Utd kuliko kutoa pesa kwa Mandzukic si bora tuchukue Lewandowski maana kila kukicha huyu mzee lazima afumanie nyavu. Ktk umri wa miaka 31 ni mzuri sana akija pale OT anakaa pale kati alf wale watoto pembeni naimani itakuwa hatari sana yule Rashford mzuri sana akitokea pembeni. Huyu mzee ana mkataba hadi June 2023 ila tukivunja kibubu anaweza tua kutupa support. Akifikisha miaka 33 naimani itakuwa tushapata striker mwingine mdogo labda msimu ujao tunaleta kachalii kanaanza kupiga vi-carabao vile mwisho wa siku Lewandowski anasepa anaingia mtu mpyaaa. [emoji2]Hii barua sijui Solskjær na Ed-Woodward wataiona!
TshHii 650K ni nn kwanza euro, pound au dollar?
We nawe chenga sana sasa kama grey anacheza leicester city ambae national team hayupo rashford yupo hivi mnavyopostigi mnaongozwa na chuki au kuujua sana mpira au? Kuna muda muwe mnatuliza akili chuki mbayaTimu aliyopo. Huyo mtu wenu hata Leicester hapati namba.
Orig hana toafaut na lukaku sema kachangamka ikiwa tumefukuza lukaku ambae premier league ana goli zaidi ya 150 orig ni nani? Hiv zile bahat za barcelona mnafikir zipo kila uchwao et?Sasa mfano Rashid akatua pale Liverpool ..atacheza tu moja kwa moja fest XI? Mimi na uhakika orig akija OT atakipiga mwanzo misho fest XI
Hapa anaumia mshabiki wa chelsea yaani hadi kaanza na calculation unaumiza akili kwa timu ambayo haikuhusu na hesabu juu brother unapata wapi muda wa hovyo hivi?Leicester 3rd in table after getting rid of Maguire Swansea 4th after getting rid of James. Crystal Palace 6th after getting rid of Bissaka. Man Utd 13th after acquiring all of them.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] 3+4+6=13[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Then 30 years hii hapa hamna epl daaa?Wazee kwa kutiririka....View attachment 1241225
Orig hana toafaut na lukaku sema kachangamka ikiwa tumefukuza lukaku ambae premier league ana goli zaidi ya 150 orig ni nani? Hiv zile bahat za barcelona mnafikir zipo kila uchwao et?
Kama nakuona unaandika huku roho inauma kwa ukweli. Yan nafsi inakusutaHapa anaumia mshabiki wa chelsea yaani hadi kaanza na calculation unaumiza akili kwa timu ambayo haikuhusu na hesabu juu brother unapata wapi muda wa hovyo hivi?
Lakini kwa arsenal atapataOrigi hapo Everton tu hapati namba
Ahaaa,,kudadadeki..View attachment 1242560
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaongelea mchezaji ambaye hawezi kumweka benchi Kagere?Lakini kwa arsenal atapata
Kweli kabisaOrigi hapo Everton tu hapati namba
Mi roho haiumi najua mwenendo wa timu na aina ya usajili ila kama unamsajili mess au ronaldo unapata matokeo mabovu lazima upagawe angalia na kikosi chako unaweza kujiua huwez kuwa na matarajio makubwa kwa kiungo cha scott bado mdogo ana cha kujifunzaKama nakuona unaandika huku roho inauma kwa ukweli. Yan nafsi inakusuta
Hii ndo aina ya mashabik wa chelsea walivyo ndio maana wakina kunguru mjanja wamepotea jukwaa limevamiwa kuleHivi kati ya Rashford na Samatta nani mkali? Tuache ushabiki...