joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,843
- 39,472
OGS naona kishakatiwa tiketi ya kurudi kwao Norway mapema,wanamsubiria baada ya mechi ya Liverpool wamkabizi.
Najua majirani mnaomba mpate hata sare,tatizo kitambaa hakitoshi.Poleni sana kwani mnapitia kipindi kingumu sana.
Najua majirani mnaomba mpate hata sare,tatizo kitambaa hakitoshi.Poleni sana kwani mnapitia kipindi kingumu sana.