Mjiandae na kuchakaa kipigo cha mbwa mwizi jpili mkuu
Ungejua ndio ninachohitaji wala usingejisumbua mkuu😂 Hivi timu yako inacheza na nani weekend hii, maana hivi vitimu vidogo ni ngumu sana kuwa na ratiba zake. |
fundi wangu ulikuwa umepigwa ban au ni majukumu yalikufanya upotee?Na huyo jamaa anayesema asipangiwe, kuna kipindi Liver walikuwa wanazingua.... Kuna jamaa akatupia vijembe kwenye jukwaa lao, alipandisha mori balaa
uyo jamaa akipitiwa na upepo wa mama mchungaji anapata majeruhi, namlaumu OGS kwa kumpa mkataba mpya huyo bwegee.Huyu Phil Jones kaumia lini na wapi?
Huyu kajitegesha makusudi tu aumie
uyo jamaa akipitiwa na upepo wa mama mchungaji anapata majeruhi, namlaumu OGS kwa kumpa mkataba mpya huyo bwegee.
ikiwa kocha wetu tokea mwanzoni alikuwa na mipango ya kumrudisha tuanzebe basi hapakuwa na umuhimu wa kumjaza fedha za bure sheikh phil jones.
Ole kampa mkataba huyo halafu kamtoa kwa mkopo Smalling 😂😂😂 Nina sababu nyingi sana za kuamini Ole kazi ya kuifunza MUFC ni kubwa sana kwake. |
Huo ndo ukweli..
Ole kampa mkataba huyo halafu kamtoa kwa mkopo Smalling
Nina sababu nyingi sana za kuamini Ole kazi ya kuifunza MUFC ni kubwa sana kwake.
Si mgongo huo??Back problem ni ugonjwa gani? Greenwood naona ndiyo Anaugua ugonjwa huo
Na huyo jamaa anayesema asipangiwe, kuna kipindi Liver walikuwa wanazingua.... Kuna jamaa akatupia vijembe kwenye jukwaa lao, alipandisha mori balaa
The list is looongView attachment 1236696
Mjiandae na kuchakaa kipigo cha mbwa mwizi jpili mkuu
uyo jamaa akipitiwa na upepo wa mama mchungaji anapata majeruhi, namlaumu OGS kwa kumpa mkataba mpya huyo bwegee.
ikiwa kocha wetu tokea mwanzoni alikuwa na mipango ya kumrudisha tuanzebe basi hapakuwa na umuhimu wa kumjaza fedha za bure sheikh phil jones.
Ole kampa mkataba huyo halafu kamtoa kwa mkopo Smalling
Nina sababu nyingi sana za kuamini Ole kazi ya kuifunza MUFC ni kubwa sana kwake.
Huyu jamaa jones kamfunga Ole asifurukute dhid yake!uyo jamaa akipitiwa na upepo wa mama mchungaji anapata majeruhi, namlaumu OGS kwa kumpa mkataba mpya huyo bwegee.
ikiwa kocha wetu tokea mwanzoni alikuwa na mipango ya kumrudisha tuanzebe basi hapakuwa na umuhimu wa kumjaza fedha za bure sheikh phil jones.
Juu unamuweka Pogba Kama attacking midfielder nyuma ya Namba 9Juu yake anacheza nani ?
Kama hadi Smalling ana mashabiki wanaomkubali kazi ipo
Ole kampa mkataba huyo halafu kamtoa kwa mkopo Smalling
Nina sababu nyingi sana za kuamini Ole kazi ya kuifunza MUFC ni kubwa sana kwake.
Mkuu ukiangalia huyo jamaa Mimi simfahamu humu, nipo humu tunajadiliana bila matusi , mm natembelea nyuzi za majukwaa karibu yote , kuna kujifunza na kutaniana
All in all nawaombea mpigwe Jumapili na Liverpool .
Huyu Phil Jones kaumia lini na wapi?
Huyu kajitegesha makusudi tu aumie
Juu unamuweka Pogba Kama attacking midfielder nyuma ya Namba 9
fundi wangu ulikuwa umepigwa ban au ni majukumu yalikufanya upotee?
itakuwa yale matusi yako dhidi ya wale jamaa ndio yalikuponza.Mkuu acha tu, nilitembezewa ban na wakubwa
Anyway nimerudi tena kwenye familia yetu