Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hakika mkuu hamna kitu mule
 
Still Mount is better than Lingard
 
Ukituliaga vizuri...unaandika madini sana.
 
Yoyote aliyekala na mamako ninbabako tu liverfull na chelish wote nyinyi Man utd ni baba enu. Kama hajawalala alishaoa siku nyingi. Umtulie
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nakukubali sana ila ulinikera kuleta mahaba ule uzi wa picha ya Ac milan
They are not professionals wengi ni waswahili tu.
Timu zote ligi nzima zinacheza 4,4,2 ulishaona wapi ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwahiyo sikuwa na hoja ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…