usajili wa modric ulinikera zaidi kuliko sneijder kwa sababu luka alikuwa na miaka 25 ukilinganisha na 28 ya sneijder.
The class 92 makinda chini ya Ferguson pengine ndio kikosi bora na maarufu cha vijana kuwahi kutokea katika soka la kiingereza.
Leo sidhani kama Sir Alex Ferguson angefanikiwa, leo timu zinatoa pesa nyingi katika vikosi vyao.
Hauwezi kuwa na Mason Greenwood wakati watu wengine wana KUN AGUERO, KEVIN DE BRUYNE, PEIRE AUBAMEYANG, HARRY KANE na Wengineo
Haiwezi kutamba na kina Greenwood katika dunia ambayo timu zinamilikiwa na pesa za warusi na waarabu. Ndicho ambacho Wenger alichemsha.
Chanzo. Mwanasport gazeti
Na Luca alikuwa tayari kuja United angalau Sneider unaweza kuwasamehe kutokana na demand yake ya mshahara ingeathiri wage structure ya timu nzima lakini still bado man united walizembea
Waingereza wanawakuza sana wachezaji wao, mm hata madsson na wasiwasi nae sana akienda timu kubwaHata yule mount wa chelsea anatajwa kumzidi lingard walahi utacheka ni kituko jana sterling walau alikuwa anaonekana
Chelsea ina viungo wazur sana pale kati kiasi kwamba madogo wanang'ara ila wale madogo wao siku wakubwa wakizembea pale kati shida ipo timu ni kiungo kante na mtoto wa sari wanamsaidia sana lampard
Nimeangalia movement za abraham ila sijashawishika had leo magoli mengi ya zari la mentali
Jana nimeangalia timu ya Taifa ya uingereza kwa vile vichezaj ambavyo vinatajwa kuja kwenye hii timu walah tutakuwa blackburn rovers tena
Jamaa umeongea points sanaWaingereza wanawakuza sana wachezaji wao, mm hata madsson na wasiwasi nae sana akienda timu kubwa
Pale Arsenal tuna katoto kanaitwa willock hakana stamina wala u creativity wowote , kwa kuwa na mwingereza ,basi zinapigwa fitna kawe kanaanza badala ya ceballos au ozil ,
Yaani ni vichekesho vitupu,
Watu wanashangazwa na form za kina Abraham , mount ,wamesahau rashford alifanya zaid ya wao tena akifunga timu kubwa , Leo Waingereza wanaona aibu kumkosoa
Waingereza wenye vipaji ni wachache sana, Angalau rahim chin ya pep kasukwa , na Sancho , Ile kuna yule Declan Rice ambaye anapigiwa chapuo aende man u, sion jipya , kuna Sean longstaff eti anauzwa £50m
Wizi mtupu waingereza
Harry kane ni mchezaj mbovu sana sema hao wengine ni shida tunatakiwa kupata playres kama hao kariba ya kun aguero au aubameyang hao best player ktk ligi ila sio harry kane
Ukweli mtupuHata yule mount wa chelsea anatajwa kumzidi lingard walahi utacheka ni kituko jana sterling walau alikuwa anaonekana
Chelsea ina viungo wazur sana pale kati kiasi kwamba madogo wanang'ara ila wale madogo wao siku wakubwa wakizembea pale kati shida ipo timu ni kiungo kante na mtoto wa sari wanamsaidia sana lampard
Nimeangalia movement za abraham ila sijashawishika had leo magoli mengi ya zari la mentali
Bado inawezekana ukiwa na vipaji halisi
Ajax wanafaidika na utamaduni wa kukuza vipaji vyao mpaka leo hii
Kwa sasa United haijabahatika kuwa na vipaji vingi kwa wakati mmoja kama ilivyokuwa class of 1992
Luis Nani alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakin ktk usajili wa kipaji pale united huyu bwana mdogo alikuwa vizur sir alex hakukosea kiasi kwamba akirud kutoka majeruh fom yake inapotea ila alikuwa akikaa sawa ni hatar sana
Sir alex alitoa boko kwa bebe,valencia, owen na veron
Waingereza wanawakuza sana wachezaji wao, mm hata madsson na wasiwasi nae sana akienda timu kubwa
Pale Arsenal tuna katoto kanaitwa willock hakana stamina wala u creativity wowote , kwa kuwa na mwingereza ,basi zinapigwa fitna kawe kanaanza badala ya ceballos au ozil ,
Yaani ni vichekesho vitupu,
Watu wanashangazwa na form za kina Abraham , mount ,wamesahau rashford alifanya zaid ya wao tena akifunga timu kubwa , Leo Waingereza wanaona aibu kumkosoa
Waingereza wenye vipaji ni wachache sana, Angalau rahim chin ya pep kasukwa , na Sancho , Ile kuna yule Declan Rice ambaye anapigiwa chapuo aende man u, sion jipya , kuna Sean longstaff eti anauzwa £50m
Wizi mtupu waingereza
Fergie nilisikia anasema hakuwahi kumuona before ,Boko la bebe ni carlos quieroz
Povu la nini tena mkuu???Kabla ya 2017 hayo ndo yalikuwa maisha ya liverpool naona hutu tu miaka tuwili mmepozwa na ka champions league basi nanyie mnaona mmetusua maisha wakat naona miaka miwili mbele mnarudi kwenye tabu tena
Mkuu ni kweli mwishoni baada ya Ronaldo hatukusajili sana, ila nilikuwa namjibu tu jamaa kwamba alipoondoka kenyon still timu ilikuwa inasajili vizuri 2003 mpaka 2008 yalikuja majembe mengi sana.chief tatizo letu kubwa lilianza baada ya kuwaingiza michael owen, gabriel obertan na antonio valencia kwa dhumuni la kuziba nafasi za ronaldo na carlos tevez ambao wote waliondoka msimu mmoja.
muondoe ronaldo basi angalau msajili frank ribery
ni sawa unamuondoa tevez kwa dhumuni la kumpa nafasi zaidi dimitar berbatov ili athibitishe thamani yake, lakini chief klabu ilishampoteza mwanadamu mwenye uwezo wa kukupa goli 50 kwa msimu hivyo basi si vibaya kama klabu ingelikamilisha usajili wa tevez japokuwa usajili wake ulikuwa na matatizo.
tukumbuke tevez alipokwenda man city ndiye aliyekuwa mfungaji bora.
unaizungumziaje ishu ya luka modric?
unaizungumziaje ishu ya roberto lewandowski?
how about wesley sneijder?
juan mata kutoka valencia?
david silva kutoka valencia?
hazard kutoka lille?
tulizipoteza lulu kwa makusudi huku tukiwaachia wapinzani wetu waendelee kujijenga kidogo kidogo kwa hoja dhaifu ya mishahara ya gharama na fedha nyingi za usajili.
yaliopita si ndwele tugange yajayo
Mkuu ni kweli mwishoni baada ya Ronaldo hatukusajili sana, ila nilikuwa namjibu tu jamaa kwamba alipoondoka kenyon still timu ilikuwa inasajili vizuri 2003 mpaka 2008 yalikuja majembe mengi sana.
Kwa wasiofahamu Fergie Alikuwa ni team manager na sio kocha kama tulio nao sasa. Mara nyingi kocha msaidizi ndio alikuwa kila kitu man u, kwa kipindi hiki nilichotaja msaidizi alikuwa ni Carlos Queiroz ambaye ndio aliwaleta wareno wenzake, na jamaa ndio yupo responsible kumkuza Ronaldo hadi kuwa legend, aliwaleta watu kama Nani, Anderson, Kleberson etc timu yetu ilijaa wareno/watu wanaongea kireno wengi.
Queiroz aliondoka 2008 nafasi yake ikachukuliwa na phelan pamoja na Rene maulensteen kama first team coach,na Approach ikabadilika Rene yeye ni mholanzi tukaanza kuona kina Butner, Rvp etc na phelan nae na waingereza wake ndio ukaona na usajili nao umebadilika.
Wengi wanamlaumu Fergie ila alituachia watu 24 waliokuwa nyuma yake wanaoijua club nje ndani, moyes alipokuja kitu cha kwanza aliwafukuza na kuja na watu wake hapa ndio tukapoteza mwelekeo kabisa, na Ed yeye hajali anaangalia tu mapato taratibu timu ikapoteza mwelekeo na identity tukawa tunasajili sajili tu hatueleweki, Man u ikafanywa tu sehemu ya watu kuchukua mishahara minono na kuondoka.
Na kutomsajili Tevez nafikiri lilikuwa ni suala zuri, 3rd party ownership ilikuwa ni cancer kwenye mpira, na fergie siku zote alikuwa against na vitu kama hivi ndio maana alikuwa hazipandi na Raiola, tevez alivyoenda city walifungana magoli na Berbatov wakashare kiatu, na Rooney pia Alistep up misimu miwili mmoja alifunga goli 39 na mwengine 40 ama 41 kama kumbukumbu zipo sahihi, hivyo forward yetu haikuwa mbaya kivile japo pengo la Ronaldo lilikuwepo.
View attachment 1230778
Ila kwenye midfield ndio ilikuwa tia maji tia maji, nakumbuka kuna kipindi hadi giggs akawa midfield ya kati, tukamrudisha na scholes alipokuwa amestaafu, Na kipindi kile ndio fergie akasema duniani anaona midfield watatu tu wanaoweza kucheza pale united (tetesi ni Modric, Ericksen na sneidjer)
Hao Athletic wapo vizuri sana wanaibua mambo mengi, huu ni muendelezo wa kuonyesha uzembe wa Ed
Ila mkuu valencia sio Boko, jamaa alikuwa na chenga moja ila kwa msimu anakupa assist za kutosha. Msimu wa 2011/12 jamaa alikuwa na assist 13, kuna mafundi kibao Epl hizo assist wanazisikia tu.Luis Nani alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakin ktk usajili wa kipaji pale united huyu bwana mdogo alikuwa vizur sir alex hakukosea kiasi kwamba akirud kutoka majeruh fom yake inapotea ila alikuwa akikaa sawa ni hatar sana
Sir alex alitoa boko kwa bebe,valencia, owen na veron
Ila mkuu valencia sio Boko, jamaa alikuwa na chenga moja ila kwa msimu anakupa assist za kutosha. Msimu wa 2011/12 jamaa alikuwa na assist 13, kuna mafundi kibao Epl hizo assist wanazisikia tu.