Manchester United (Red Devils) | Special Thread

acha uongo... mchezaji bora wa klabu msimu wa 2010/11 alikuwa ni chicharito na mchezaji bora wa ligi alikuwa ni gareth bale.
 
Sisi tumezikuta story za Blackburn rovers kwamba ilikuwa team bora.. Hii itazungumzwa kwa man untd 5 years ahead.
 
chief tatizo letu kubwa lilianza baada ya kuwaingiza michael owen, gabriel obertan na antonio valencia kwa dhumuni la kuziba nafasi za ronaldo na carlos tevez ambao wote waliondoka msimu mmoja.

muondoe ronaldo basi angalau msajili frank ribery
ni sawa unamuondoa tevez kwa dhumuni la kumpa nafasi zaidi dimitar berbatov ili athibitishe thamani yake, lakini chief klabu ilishampoteza mwanadamu mwenye uwezo wa kukupa goli 50 kwa msimu hivyo basi si vibaya kama klabu ingelikamilisha usajili wa tevez japokuwa usajili wake ulikuwa na matatizo.

tukumbuke tevez alipokwenda man city ndiye aliyekuwa mfungaji bora.

unaizungumziaje ishu ya luka modric?
unaizungumziaje ishu ya roberto lewandowski?
how about wesley sneijder?
juan mata kutoka valencia?
david silva kutoka valencia?
hazard kutoka lille?

tulizipoteza lulu kwa makusudi huku tukiwaachia wapinzani wetu waendelee kujijenga kidogo kidogo kwa hoja dhaifu ya mishahara ya gharama na fedha nyingi za usajili.

yaliopita si ndwele tugange yajayo
 
Ukweli ni kwamba kulegalega kwenye usajili Man united ilianza zamani tu mathalani usajili wa Wesley Sneider, na Luca Modric ulikuwa uzembe wa mabosi wa united.

Hazard alichagua kwenda Chelsea ndiyo man united wakaenda kumsajili Shinji Kagawa. Haya ya woodward ni mwendelezo tu wa incompetence ya Man united kwenye usajili.
 
Hazard alichagua kwenda Chelsea ndiyo man united wakaenda kumsajili Shinji Kagawa. Haya ya woodward ni mwendelezo tu wa incompetence ya Man united kwenye usajili.
upo sahihi brother eden hazard aliichagua chelsea badala ya man utd lakini haiondoi ukweli offer ya chelsea kivyovyote ilikuwa ni kubwa kuliko man utd ndio maana aliichagua chelsea kwa hoja dhaifu ya kwamba chelsea wametoka kushinda UEFA.

Eden Hazard has revealed that he held personal conversations with both Sir Alex Ferguson and Roman Abramovich before deciding that he wanted to join Chelsea rather than Manchester United.

I spoke with Abramovich, he is very simple and loves football,” Hazard said. “We were on the same wavelength, he wants to confirm Chelsea’s position at the top. Chelsea have made a good investment for me but I did not put any pressure on them.”

Chelsea issued a statement to confirm that they had agreed a fee with Lille and personal terms with Hazard, which are expected to be as much £170,000 a week over a five-year contract.

mkuu umeuona utofauti hapo juu katika bold?
abramovich anapenda soka kuliko fergie?
 
Luis Nani alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya mara kwa mara lakin ktk usajili wa kipaji pale united huyu bwana mdogo alikuwa vizur sir alex hakukosea kiasi kwamba akirud kutoka majeruh fom yake inapotea ila alikuwa akikaa sawa ni hatar sana

Sir alex alitoa boko kwa bebe,valencia, owen na veron
 
Sababu ninayojua kuachwa kwa hazard ni kagawa upatikanaji wake

Msome babu yako alivyocheza kamar


What Sir Alex Ferguson said about Eden Hazard when Manchester United missed out on signing him in 2012

Chelsea landed Hazard from Lille back in 2012, beating Manchester United, City and Real Madrid to the forward's signature.

United were very keen on signing him at the time, and even made an offer for his services, but the Red Devils were not prepared to pay the transfer fee Lille quoted.
Speaking about the Hazard transfer, shortly after it had been completed back in 2012, Ferguson said: "There is a borderline in terms of what you would think is a good signing for United.

"I see some values on players, like Hazard for instance. To me it was a lot of money. He's a good player, but £34 million?
"What we're finding anyway, the climate for buying these top players - not just the transfer fees, the salaries, agents' fees - is just getting ridiculous now.

"In the Hazard deal, Chelsea paid the agent £6 million. The [Samir] Nasri situation was the same."
He continued: "It's all about what you think is value for a player. I am not envious of those deals at all. We placed a value on Hazard which was well below what they were talking about.
"So if it doesn't work, well we're not worried about that. We think we've got good value in [Shinji] Kagawa."
By today's market £34million is a drop in the ocean


Pia sababu hiyo alimuacha Lucas Moura
 
Hii weekend mpo na amani sana kwavile EPL hamna ,kuleni utawala maan weekend zijazo hamtokaa kwa aman tena
Kabla ya 2017 hayo ndo yalikuwa maisha ya liverpool naona hutu tu miaka tuwili mmepozwa na ka champions league basi nanyie mnaona mmetusua maisha wakat naona miaka miwili mbele mnarudi kwenye tabu tena
 
Harry kane ni mchezaj mbovu sana sema hao wengine ni shida tunatakiwa kupata playres kama hao kariba ya kun aguero au aubameyang hao best player ktk ligi ila sio harry kane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…