kama solskjaer ataendelea kuwepo nakuhakikishia atamsajili mmoja kati ya hao ndugu wawili, unadhani kwa sajili za ovyo kama hizo zitatutoa kwenye dimbwi la dhoruba?
never everkuna muingereza mmoja tu ndiye mwenye uwezo wa kuichezea manchester united na si mwengine ni james maddison.
sijamtaja harry kane kwa sababu bei yake ni ghali sana
Baada ya mechi ya Liverpool, tuko kule tulikomtoa Newcastle!
hizo takataka ameendelea kuziweka yeye bila ya kuwa na sababu za msingi za kimfumo.
baadhi yao amewapa kandarasi za miaka 3
lingard = huenda akapewa mkataba mpya kwa mujibu wa taarifa
phil jones = amempa mkataba mpya
ashley young =amempa mkataba mpya
chris smalling = amempa mkataba mpya
adreas perreira = amempa mkataba mpya
juan mata = amepewa mkataba wa miaka 3
marcos rojo = bado ameendelea kuwepo
marcus rashford = umri unamruhusu kupewa kwake mkataba mpya ila mshahara wake hauendani na uwezo wake, haiingii akilini umlipe rashford paundi laki mbili then ukatae kumlipa herrera paundi laki mbili.
hao anaowataka wengi wao hawana tofauti na hao waliopo.
sean longstaff
declan rice
wilson
baada ya kufungwa na everton magoli manne msimu uliopita alisema kuna wachezaji hawatovaa tena jezi ya man utd, cha kuchekesha amewaondoa wachezaji wawili muhimu na kuwabakisha vibasha wa wajukuu wa malikia.
kama lengo lake ni kutushusha daraja basi hatofanikiwa kwa sababu big sam yupo anasubiri kibarua.
View attachment 1225857
teh teh teh
mkuu nimemtaja big sam kwa sababu ndiye mwanadamu asiyeshindwa kuinusuru timu isishuke daraja.
hahahhahaaaaa
tupo vibaya
Ulaya kuna sarakasi za kufa Mtu!
Eti Sadio Mane anapokea £180K per week
Lakini Rashford anapokea £200K per week
Bora ninyamaze tu
Mkuu huyu ukimuangalia kwa Jicho la 3 akiwa anatembea uwanjani bila ya Mpira anakuwa hatari zaidi kuliko akiwa na Mpira! Trust me.
Ole akili yake ni kama vile imeganda kabisa na kwasasa hajui ni nini atafanya,michezo yote ametumia mfumo mmoja bila mafanikio na ataendelea kutumia hadi tutakaposhuka daraja. De Gea analia timu imeshindwa hata kutengeneza nafasi za kufunga(achilia mbali kufunga) na hii ni kweli. Hii ni kwasababu hakuna #10. Kwa wakati huu mchezaji wa kumtumia pale kidogo japo nae ana maujinga ni Pogba, shida ni Ole kichwa panzi ataendelea kumtumia Pogba kule chini pamoja na Scott. Nakumbuka wakati anapewa timu alimtumia Matic na Herrera kama wakabaji Pogba akawa anashambulia sana, sijui ameingiwa na nini tangu apewe kazi, amesahau kila kitu. Pendekezo langu kwa sasa; kwakuwa Fred na Matic wote wamekuwa watepetevu ni vizuri Tuanzebe(naamini anaweza sana nimemtazama mechi alizopangwa hasa ya jana anagawa mipira vizuri na anajiamini) akashirikiana na Scott pale kati halafu Pogba apande juu. Kama Martial atakuwa amepona basi acheze #9 na Rashford atokee pembeni.😂 |
Siamini hizo rating ni za Lingard.Mkuu huyu ukimuangalia kwa Jicho la 3 akiwa anatembea uwanjani bila ya Mpira anakuwa hatari zaidi kuliko akiwa na Mpira! Trust me.
Ulishaona tunauza ovyo ovyo?
Sisi tuna wachezaji ila kocha hatuna ,
Fikiria hatuna kocha lkn tupo nafas ya 3 ,je tungekuwa na kocha?
Utofaut wenu na sisi ,nyie mna average player wengi ,
Rashid ,lingard , Pereira ,Maguire , n.k hawapat namba pale arsenal
Good news,
this time next season tutakua on top of the table in championship, there is no reason to be disappointed guys.
Mbona Avatars za Mourinho zimekuwa nyingi kipindi hichi? Kunani?
Muumini wa hao viumbe ni CHIEF MKWAWA haumwambii kitu akakuelewa hapo.Mimi siyo muumini wa wachezaji wanaokuwa hatari bila mpira.
Ole akili yake ni kama vile imeganda kabisa na kwasasa hajui ni nini atafanya,michezo yote ametumia mfumo mmoja bila mafanikio na ataendelea kutumia hadi tutakaposhuka daraja.
De Gea analia timu imeshindwa hata kutengeneza nafasi za kufunga(achilia mbali kufunga) na hii ni kweli. Hii ni kwasababu hakuna #10. Kwa wakati huu mchezaji wa kumtumia pale kidogo japo nae ana maujinga ni Pogba, shida ni Ole kichwa panzi ataendelea kumtumia Pogba kule chini pamoja na Scott.
Nakumbuka wakati anapewa timu alimtumia Matic na Herrera kama wakabaji Pogba akawa anashambulia sana, sijui ameingiwa na nini tangu apewe kazi, amesahau kila kitu.
Pendekezo langu kwa sasa; kwakuwa Fred na Matic wote wamekuwa watepetevu ni vizuri Tuanzebe(naamini anaweza sana nimemtazama mechi alizopangwa hasa ya jana anagawa mipira vizuri na anajiamini) akashirikiana na Scott pale kati halafu Pogba apande juu.
Kama Martial atakuwa amepona basi acheze #9 na Rashford atokee pembeni.
Hiyo sentensi ya mwisho aiseeeeh imenichekesha kweli,Sasa Arsenal mnatofauti gani na sisi? Mnachotuzidi ni kwamba nyie wachezaji wenu wamechangamka zaidi!
Wanachangamka ili wapate club za kwenda!
Jesse Lingard mtaalamu wa kuperfome akiwa hana mpira na ndio maana anaanzia bench siku hizi kama kocha wake zamani,maana wakiwa hawana mpira ni hatari sanaWaliopata kushuhudia OGS akicheza soka naombeni mlinganishe uchezaji wake enzi hizo ilikuwa unafanana na mchezaji gani pale Manchester kwa sasa.
Aisee huyo jamaa hatarnaomba mkeka wako unaofuata unishirikishe
Wewe ni kanjibah kabisa unatuingiza mkengeNaomba mechi ijayo tumbetie man anashinda tuweke madau makubwa tumfilisi Muhindi