interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,409
Mou tatizo angepewa Maguire na Bissaka angetoboa sana. Ila naye alikuwa na matatizo(sijui ni yeye au Pogba) maana alishindwa kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji.
Naona Ed alijua Mou angebaki Pogba na Martial walikuwa wanatakiwa kuondoka,hakuwa tayari kwa hilo.
Akhsante Bro!Poleni sana Wadau wa Man Utd
DahSo sad!
View attachment 1225299
De Gea: “I don’t know what is happening. We cannot even score one goal in two games."
Jamaa kama anataka kulia hiviii!
Sawa ila mou alijaribu kuwa mkali ndo yakaibuka ya pogba na martial na wengineo
Kama MUFC inataka kujengwa irudie makali yake, Ole sio kocha sahihi. Hawezi kuijenga hata apewe misimu sita.
Kocha anayewalambalamba wachezaji hawezi kujenga timu,wakati unawalambalamba baadhi ya wachezaji unashusha morali ya wachezaji wengine na hapo ndo kaburi la timu linapochimbwa.
Mou tatizo angepewa Maguire na Bissaka angetoboa sana. Ila naye alikuwa na matatizo(sijui ni yeye au Pogba) maana alishindwa kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji.
Naona Ed alijua Mou angebaki Pogba na Martial walikuwa wanatakiwa kuondoka,hakuwa tayari kwa hilo.
So sad!
View attachment 1225299
De Gea: “I don’t know what is happening. We cannot even score one goal in two games."
Jamaa kama anataka kulia hiviii!
Ubora wa huyu kipa alistahili kuwa anashinda sana mataji,kwa hii MUFC ya Ole hatumstahili kabisa. Kwa mchezaji mwenye mapenzi na timu inaumiza sana kuona timu inacheza kama kuku alitekatwa kichwa. Na hatuwezi kufunga magoli kwasababu kiungo chetu kimetepeta hili nalisema kila siku,mipira mingi inapotea sana pale kati. Fred(sijui ni mbrazili wa wapi huyu) ni mzito sana kati hapawezi kuchangamka. Timu yetu hamna mchezaji/kiungo anayeweza kukimbia kwa kasi akijaribu kuwatoka mabeki pale hali inapokuwa ngumu kama leo. Timu ikijilinda mwanzo mwisho hatuwezi kufunga goli, tutaanza kugonga pasi tu na kurudisha nyuma mpira. Timu yetu inahitaji kocha mpya mzoefu na wachezaji wengine kama watano hivi ili iweze kuwa timu na sio hili genge la 'instagramers' kati yao hao watano kuwe na CDM teleza aina ya Kante na #9 anayewafuata mabeki( sio anaewakimbia kama Rashford) kwenda kumtumbua kipa. Zaidi ya hapo,hamna timu hapa. |
Better things iliokusudiwa hapo ni mkwanja, baba manyuu kuna mkwanja mrefu kulee"Remember when Harry Maguire said he was leaving for bigger and better things?"
Ever since,
-Leicester city are above them
-Tammy Abraham better than Rashford
-Ole Gunnar Solskjaer's misery deepens
-Chelsea and Arsenal better than Manchester United right now
aliefanya lukaku na sanchez watoke ni ole tangu kaja kawaamini sana lingard na rashfordKuna watu wanaamini James ni bora Sanchez au Rashford kuliko Lukaku.
Form is temporary but class...
Mkimfukuza Ole haitasaidia atakayekuja atafanya kazi na hao hao akina Rashford, hakuna quick solution kwa sasa.
Sawa ila mou alijaribu kuwa mkali ndo yakaibuka ya pogba na martial na wengineo
Basi tatizo la hii timu limeanzia kwa wamiliki na Ed, huwezi kuwa na timu bora kwa kuwapigia magoti wachezaji. Pale kwa Pep. ukizingua umekwenda. |
Mou alikuwa kocha wenu sahihi kuwapeleka sehemu salama ,Mou a man with winning strategy..mambo ya possesion ni ya mpinzani!
Sitasahau ile mech ya Arsenal 75% vs man utd 25% ila mechi ikaisha Arsenl 1-3 Man u kama sijakosea!
Stress mbaya sanaNaona Kuna misukule inamkumbuka mou na kutuona sisi wanajeshi tuliempindua yule hayawani kuwa tulikosea kwa maamuzi Yale pendwa .. Nasema Tena timu ilifanya maamuzi sahihi kumuondoa nduli yule .. Kufanya vibaya kwa ole hakuondoi upuuzi wa Mou ...
Narudia Tena na nimekuwa nikilisema hili several times man United lazima iwe timu ya kocha akifanya vibaya FUKUZAAAAAAAA... Sio kung'ang'ania .. Mou Fukuzaaaaaa ... Huyo Ole Fukuzaaaaaa Mpaka turudi njia kuu.
Sasa nazisubiri zile mbuzi au mifugo ya nduli mou ije kichwa kichwa kujibu hii comment kipuuzi puuzi niwaoneshe kwanini Kilimo kiliitwa Ni uti wa mgongo.
GGMU
GGMU
Kwa upande wangu kocha na body nzima ndiyo tatizo.Sio kocha ni mfumo mzima wa uongozi unaambiwa uza lukaku na wewe unakubali bila kupima maana yake mambo ya mpira ni zero wale wote wakina ed wakufukuzwa wapo kibiashara mashabik wa hii timu wanachotakiwa kufanya ni kuacha kununua bidhaa za hii timu na kuingia uwanjani wakipata hasara kwenye biashara jibu watapata wao wanafaidika kifedha mambo ya uwanjani hayawahusu
Kaka yani Jose Mourinho aje kwa wapare? Jose M anataka timu inayojiweza kiuchumi, hlf yule mikakati yake saiv kabadilisha amedai, kuja kulia lia hapo kwenu hawezi!Namtaman sana aje arsenal maana hatuna kocha ,
Point ya mwisho nimeielewa saaana hiyo
Hata akifukuzwa ni ujinga wake. Unakubali vipi kupewa mkataba bila kuhakikisha utapatiwa unachotaka?
Nini kilimfanya akubali Herrera aondoke wakati anajua hatopewa mid.kama Herrera?
Nini kilimfanya akubali kumtoa Lukaku bila kuhakikisha atapewa #9 mwingine? Unamtegemea Rashford
Unamtoa kwa mkopo Sanchez? Unabaki na nani?
Acha aishushe timu daraja kwanza ili akaitengeneze