Kuna watu wanaamini James ni bora Sanchez au Rashford kuliko Lukaku.
Form is temporary but class...
Mkimfukuza Ole haitasaidia atakayekuja atafanya kazi na hao hao akina Rashford, hakuna quick solution kwa sasa.
Kama MUFC inataka kujengwa irudie makali yake, Ole sio kocha sahihi. Hawezi kuijenga hata apewe misimu sita. Kocha anayewalambalamba wachezaji hawezi kujenga timu,wakati unawalambalamba baadhi ya wachezaji unashusha morali ya wachezaji wengine na hapo ndo kaburi la timu linapochimbwa. |
😅 😅 Nimesubir comment yake leo sijaonaKuna jamaa mmoja anajiita ARV, ni bingwa wa kuletaga misimamo ya ligi. Aje atupostie tuone!
Leo vip kaleta tena?..mana ndivyo alivyo, kuna siku alileta, tukazibuliwaHuyu jamaa ana mkos akiletaga msimamo kule jukwaa letu lazima wapigwe ,
Man u imekuwa kama ACT WAZALENDO haijulikani inataka nini.Yaan kwa kariba ya wachezaji tulionao sioni umuhimu wa kocha mpya....yaani wachezaji hawana spirit kabisa..wanacheza wamerelax sanaa...hawapambanii brand ya utd
Hao wachezaji yeye OGS ndio alikuwa hawataki,hawakuondoka wenyewe
Hakumtaka Lukaku ili Rashford aenjoy maisha sio?😂😂 Hakumtaka Herrera kwakuwa ana viungo wengi wazuri wanaoweza kucheza kama yeye.😂 Naomba Mungu asifukuzwe ili timu ikishuka hao mabosi washtuke😂 |
Kila mech na plan yake usikariri
Uko sahihi sana mkuu...Naona Kuna misukule inamkumbuka mou na kutuona sisi wanajeshi tuliempindua yule hayawani kuwa tulikosea kwa maamuzi Yale pendwa .. Nasema Tena timu ilifanya maamuzi sahihi kumuondoa nduli yule .. Kufanya vibaya kwa ole hakuondoi upuuzi wa Mou ...
Narudia Tena na nimekuwa nikilisema hili several times man United lazima iwe timu ya kocha akifanya vibaya FUKUZAAAAAAAA... Sio kung'ang'ania .. Mou Fukuzaaaaaa ... Huyo Ole Fukuzaaaaaa Mpaka turudi njia kuu.
Sasa nazisubiri zile mbuzi au mifugo ya nduli mou ije kichwa kichwa kujibu hii comment kipuuzi puuzi niwaoneshe kwanini Kilimo kiliitwa Ni uti wa mgongo.
GGMU
GGMU
Nawakumbusha tu mashabiki wa Ibilisi wekundu, mechi ijayo ni Vs Liverpool, msimu huu maji mtaita mmaaa
😂😂😂😂😂hata hivyo kukumbushana siyo vibaya.
Jose Mourihno aliomba sana usajili wa Maguire, amesajiliwa akiwa ameondoka. huenda angesaidia kiasi
Mou tatizo angepewa Maguire na Bissaka angetoboa sana. Ila naye alikuwa na matatizo(sijui ni yeye au Pogba) maana alishindwa kutengeneza mahusiano mazuri na wachezaji. Naona Ed alijua Mou angebaki Pogba na Martial walikuwa wanatakiwa kuondoka,hakuwa tayari kwa hilo. |
Poleni sana Wadau wa Man UtdSo sad!
View attachment 1225299
De Gea: “I don’t know what is happening. We cannot even score one goal in two games."
Jamaa kama anataka kulia hiviii!