LEO WANA MAN U TUWE NA IMANI TUNASHINDA NIMEIANGALIA NEWCASTLE YA STEVE BRUCE NI WABOVU BALAA KULIKO SISI... WANACHEZA 5-4-1 MUDA WOTE WAKO NYUMA.. NINA IMANI TUKIPATA KA GOLI KAMOJA KAMA KAWAIDA YETU MSIMU HUU WAKUFUNGA KAGOLI KAMOJA BASI HAWA JAMAA HAWAWEZ KUKASAWAZISHA... ILA WAKISAWAZISHA TU BASI ITAKUWA SARE YA 1-1 MAANA MAN U KWA SASA HATUNA UWEZO WA KU SCORE GOLI ZAIDI YA 2 UKIACHA ILE MECHI YA CHELSEA TU TULIOMGONGA 4-0.. KWAHIYO LEO MAN U KUSHINDA 1-0 AU MECHI SARE 1-1
Basi matokeo mazuri kwetu ni goalless draw maana tatizo letu ni kufunga magoli.
After all Man united siyo threat tena kwa timu yoyote so tutegemee New Castle kujaribu bahati yao pia hawawezi kuwa wanyonge kwa man united.
Kibaya zaidi New castle ni timu ambayo huwa wanabattle sana wanapocheza na Man united
Hahahahahahahahah unaleta Mathematics za Probability kwenye Football.Ule utatu wake kule mbele hauna hata mbadala akiumia mmojawapo
Epl race for golden boot 2019-2020 season
Man united - 9 goals
Aguero - 8 goals
Abraham - 7 goals
Aubameyang - 7 goals
Pukii - 6 goals
Sterling - 6 goals
Hahahahahahahahah dahEpl race for golden boot 2019-2020 season
Man united - 9 goals
Aguero - 8 goals
Abraham - 7 goals
Aubameyang - 7 goals
Pukii - 6 goals
Sterling - 6 goals
Hahahahahahahahah potelea mbali liwalo na liwe.It is a matchday..
Expectation ziko chini sana..Tukifungwa sawa,Tukidraw sawa,Tukiwafunga sawa
Huu utani wa ngumi huuEpl race for golden boot 2019-2020 season
Man united - 9 goals
Aguero - 8 goals
Abraham - 7 goals
Aubameyang - 7 goals
Pukii - 6 goals
Sterling - 6 goals
Hahaha kwa jins tunavyoijua man united aiwezi kufungwa leo na Nu Casto halafu ikafungwe tena na liver..Duh mkuu ww ni unang'ata na kupulizaaa
HahahahaHahaha kwa jins tunavyoijua man united aiwezi kufungwa leo na Nu Casto halafu ikafungwe tena na liver..
Nyie liver mjipange sana ..
Kila la kheri New Castle..[emoji123][emoji123][emoji123]
Kila la kheri SOUTHAMPTONHahaha kwa jins tunavyoijua man united aiwezi kufungwa leo na Nu Casto halafu ikafungwe tena na liver..
Nyie liver mjipange sana ..
Kila la kheri New Castle..[emoji123][emoji123][emoji123]
Wewe mtoto mchawi sana..Soton watakunyoosha na wewe muda sio mrefuHahaha kwa jins tunavyoijua man united aiwezi kufungwa leo na Nu Casto halafu ikafungwe tena na liver..
Nyie liver mjipange sana ..
Kila la kheri New Castle..[emoji123][emoji123][emoji123]
Pepe kale- 0-1goals intervalEpl race for golden boot 2019-2020 season
Man united - 9 goals
Aguero - 8 goals
Abraham - 7 goals
Aubameyang - 7 goals
Pukii - 6 goals
Sterling - 6 goals
OKPepe kale- 0-1goals interval
Kumbe Pepe kale ana magoli manne?
Siti zao zimekuwa reserved kwa kampuni fulani, wamehamia Siti nyengine.