Martinelli on his trials with United: "Between 2015 & 2017 I went there 4 times & trained on average about 15 days. I saw all the professionals. I asked to take a picture with Evra, Fellaini & other guys. Pogba knew I was Brazilian & asked if everything was fine & where I played"
Tumetoa pesa ndogo sana kununua mchezaji bora mara 100 kumzidi pepe wenu mliyeuziwa kwa mapesa kibao. Kwani pepe amepiga mashuti mangapi hadi sasa na ana goli ngapi?
Mzee umekula maharage ya wapi. James anajitambua uwanjani na yuko focused, sio kama pepe anakimbia kimbia bila sanduku la posta, anarukaruka kama kuku amekatwa kichwa.
Miguu haina nguvu ya kupiga mashuti pale hamna mchezaji wa maana ni kanyaboya

Eti ndio aliingia kuokoa jahazi,unabaki unacheka tu ingawa roho inauma.
Ole angekuwa muungwana aachie ngazi,huoni anachokikusudia kwenye kikosi chake huyu bwege,