Manchester United (Red Devils) | Special Thread

If that is a good perfomance for him, i think you all know him and his team can't do better. Next game 0-0 or 1-1
 
Nimeona maumivu yake maana kuquote ujumbe mmoja mara tatu sio jambo la kawaida.😂

Mchezaji wa mapesa yote yale ana goli moja la penalty lazima uumwe.😂
 
Hahahah mm.sijaumia ila nimeuliza nasikia hamjapiga shuti hata moja on target ,sikuangalia game, nikauliza James alikuwepo? Na magwaya wa 80, na Fred wa 60

Hayo ya pepe mm sijayaona , maana had sasa ana goli 1 & 2 assist ,

Mwisho wa msimu njoo mfananishe na James ,
 
Wewe mpira utakuwa unaangalia peke yako au,
 
Si useme tu ana goli moja la penalty😂😂

James ana magoli matatu mazuri mno mkuu,na hapo timu yetu ni mbovu kiungo kimelegea,jiulize timu ingekuwa sawa si angekuwa messi hadi muda huu?😂😂
 
Si useme tu ana goli moja la penalty


James ana magoli matatu mazuri mno mkuu,na hapo timu yetu ni mbovu kiungo kimelegea,jiulize timu ingekuwa sawa si angekuwa messi hadi muda huu?
Hahahhaha kwa hiyo sio goli?

Kwan unadhan penalty hawakosi, ?

Tufanye hivi tusubiri end of the season tufanye mlinganisho,
 
Viatu vya samaki pole sana Chifu, hapa umeandika kwa hisia za machungu sana.
 
Viatu vya samaki pole sana Chifu, hapa umeandika kwa hisia za machungu sana.
 
OLE tactically hamna kitu timu ipo hovyo hovyo timu haionyeshi ku imrove chchote the same bullshit football no pressing, poor touches
 
Hahahhaha kwa hiyo sio goli?

Kwan unadhan penalty hawakosi, ?

Tufanye hivi tusubiri end of the season tufanye mlinganisho,
Hata mwanangu hapa ukimtengea anafunga.😂

Nyota njema huonekana asubuhi. Kama ni kusubiri hadi mwisho wa msimu basi tusema hata MUFC inaweza kuwa bingwa,sio?
 
Hata mwanangu hapa ukimtengea anafunga.


Nyota njema huonekana asubuhi. Kama ni kusubiri hadi mwisho wa msimu basi tusema hata MUFC inaweza kuwa bingwa,sio?
Sasa mech 7 tayari ushatoa conclusion?

Anza na huyu wa £60m ana misimu miwili sijui bado anahaha...https://twitter.com/TheSunFootball/status/1180056541833117696?s=19

Kwahiyo tayari wewe ushaona James umemaliza usije kushangaa asifike hata magoli 5

Maana hata magwaya kwa 80 ni robbery ,
 
Sasa mech 7 tayari ushatoa conclusion?

Kwahiyo tayari wewe ushaona James umemaliza usije kushangaa asifike hata magoli 5

Maana hata magwaya kwa 80 ni robbery ,
Mbona unatapatapa mkuu,tumefika kwa Jitu mwitu msitu saa ngapi? Si tunamzungumzia James hapa.😂😂

Kwanza nyie Pepe si mnalipa mia mia mpaka hela itimie? Kama vipi amueni kugoma,msilipe tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…