Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,026
Hii timu sijui wenyewe ndio wameamua au ndio wanataka kuiuwa ili waanzishe team ya American Football
Mpaka dakika ya 90, hatuna shot on target hata moja. Kipa wao kawa likizo. So sad
Yan ukisikia wa2 wanavomtetea Lingard unabak unacheka tu.. Ww kama hata Gareth Southgate kamuacha kwny kikosi..hapo ww huelew nn.. Ss kama ni mkabaj mzr si akawe beki.. Ww no10 huna unacho Saidia team si kawe beki basi kama anajua kukabaUtetezi wa Lingard unaniacha mdomo wazi hahahahah
Mkuu acha kulialia na mchezaji m1 m1, kikosi kizima ni kibovu. Vumilieni tu, hamna namna.Yan ukisikia wa2 wanavomtetea Lingard unabak unacheka tu.. Ww kama hata Gareth Southgate kamuacha kwny kikosi..hapo ww huelew nn.. Ss kama ni mkabaj mzr si akawe beki.. Ww no10 huna unacho Saidia team si kawe beki basi kama anajua kukaba
Liverpool imeingiaje hapo mkuuDk 90 timu inakosa hata Shot on target.
Eeeh! Halafu kocha na macho kama paka aliamini tiba ya United ni kumtoa Lukaku na kuacha hawa vikojozi.
Usenge wa Arsenal na Liverpool ulianza hivi hivi hadi tuje kurudi kwenye nafasi yetu ya zamani itachukua miaka mingi na kwa gharama kubwa.
Kwnz ntake radhi siwez kua mshabik wa Man United maana kwa hii team ningepata presha.. Team nzm ni mbovu kwn nan hajui ilo? .. Tuko hapa kuwafariji hawa ndg zetu.. Hawana team wamebaki na wao kuongea tu historia kama liver na Arsenal.. Kipind ndo hicho hicho wanacho pitia na itawachukua mda snaMkuu acha kulialia na mchezaji m1 m1, kikosi kizima ni kibovu. Vumilieni tu, hamna namna.
Poleeeeeee, tuwe passive fans tu watuactivate timu ikifufukaEe Mungu naomba unisaidie niitoe hii team moyoni kubabake!
Mkuu ushabiki wa mpira ni kama kabila tu,huwezi hama kabila.Ee Mungu naomba unisaidie niitoe hii team moyoni kubabake!
Asante mkuu,hili liteam linaniliza kila siku!!ubaya hata siwezi kuacha kufatiliaPoleeeeeee, tuwe passive fans tu watuactivate timu ikifufuka
Mkuu ushabiki wa mpira ni kama kabila tu,huwezi hama kabila.
Labda tafuta mchezo mwingine kama basketball kukimbia united
Eti ndio aliingia kuokoa jahazi,unabaki unacheka tu ingawa roho inauma.Yule Rashford kapata ile Free-kick ya dakika za mwisho sasa alivyopiga unajiuliza huyu dogo kichwani anawadudu Funza yaani kabutua kama uwanja upo miles away na Alipo yeye
Hovyo sana Hii Timu
Mie nilijifunza kushabikia baketball kuepuka machungu ya man utd kipindi cha mou,ilinisaidia sana.Tatizo haupo mchezo mwingine naoweza kupenda zaidi ya mpira