Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wachezaji wetu wamelegea sana,hadi kiakili wamelegea. Mtu mpira unapigwa unampita unatoka nje mahali ambapo angeweza hata kuteleza auguse. Mchezaji anasubiri mpaka mpira umfuate alipo😂😂😂 Tatizo ni kocha hapa lakini hata wachezaji pia ni wazito kimwili hadi kiakili ndio maana hata timu haiwezi kucheza kwa kasi.

Kiungo chetu ni kizito sana na hamna hata kiungo mmoja anayefikiria haraka.
 
Mpaka mje mpate straiker , na azoee ligi ,mnaweza jikuta mnachezea nafas za 10-15
Mambo ya kuzoea ligi ni hadithi tu kama zile za Lingard kuwa bora akiwa hana mpira.

Mbona Daniel James tumenunua na anakiwasha vyema tu.

Aah,nimesahau una maumivu ya kuuziwa mbuzi kwenye gunia ukakuta ni kenge.😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…