Manchester United (Red Devils) | Special Thread


AWB alikuwa mmoja ya mabeki (RB) waliofanya vizuri kwenye EPL msimu uliopita defensive statistics zake zilikuwa ziko wazi,ukiondoa Trent yeye ndio alikuwa anamfuatia licha ya kucheza timu ndogo and still sio mzuri kwenye kushambulia kama ilivyo kwa most modern football (he need to work on that to become the better full back),Maquire was also better defender Jose want to sign him a year before.He sign the 3 right player and sold wrong players (Herrera& Lukaku) but hata hao wachezaji soon watakuwa mzigo sababu ya tactical weakness za coach.Kama umegundua now timu tunazocheza nazo wanamkaba James tofauti na mwanzo

Kuhusu stats za Martial/Rashford check your source again kumbuka last season United ilifundishwa na Jose & OGS
Since OGS ameanza kufundisha United Martial amefunga magoli 5 kwenye EPL na 3 alifunga msimu uliopita na 2 kafunga msimu huu ,overal alifunga magoli 10 but alifunga magoli mengi 7 wakati Mourinho akiwa kocha .Rashford ndio ali-improve kufunga magoli 8 while 2 alifunga na ukiangalia kipindi cha Jose hakuwa anacheza dakika nyingi ukilinganisha kipindi hichi cha OGS ambapo amepewa hadi role ya kupiga penati.
 
Hiii timu inahitaji marekebisho ya nguvu kama inataka kurudi kwenye list ya timu bora.
Ukiangalia kwa haraka utahisi kuna shida kwenye uongozi wa juu katika kusajili wachezaji wenye tija.
Kocha hata uwe mzuri kiasi gani kama hauna timu ambayo ni competitive, utaishia kupigwa tu na kuonekana haufai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…