Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwanini hukuweka penat?
 
VAR imewabeba madrid
Goli la ramos ni offside ya wazi kabisaaa
Naanza kuamini yule perez anawanunua hawa marefa.....
Kuhusu var ili ifanye kazi inabidi refa kwanza aombe msaada kwenye var, Kama refa ataona foul na Kisha akasema sio foul hata Kama var itasema Ni foul itahesabika Kama sio foul.
 
According to Fabrizio Romano Allegri anajifunza kingereza na yupo Tayari kuchukua Nafasi ya Ole Man UTD.


Sitashangaa hata Ed akiwa ameshamwaga mpunga.

Timu yetu hii majanga.
 
Lile ni goli halali

Ukimuangalia yule mchezaji aliye karibu na Ramos utasema ni offside, lakini kule juu mpira ulipotokea kuna mchezaji wa Brudge alimuweka Ramos on side

Ila mwisho wa siku, VAR siimani, Refa akiamua kuitumia poa, na asipoamua fresh tu
VAR imewabeba madrid
Goli la ramos ni offside ya wazi kabisaaa
Naanza kuamini yule perez anawanunua hawa marefa.....
 
Umeumia Ole kutimuliwa?
Naumia sababu timu yetu haijielewi Kama kuku aliekatwa kichwa, hatuna identity Bora liende tu.

Mkuu Mimi nilimtetea lvg humu asitimuliwe, nikamtetea na Mou asitimuliwe na nitamtetea na Ole vile vile, Tatizo la man U halijawahi kuwa Kocha.

Hata AlleGri akija baada ya Muda watu wataanza vile vile kumtupia maneno kwamba hawamtaki.
 
Ina maana wale pundits hawaoni kama tatizo ni uongozi??? Wakapiga hayo makelele yao
 
Sasa wana matokeo gani Spurs?
 
Hugo Lori's
David De Gea
Thibaut Courtious
Kyle Navas
wameporomoka sana viwango vyao misimu miwili mfululizo wako kwenye downfall.

Wakati huo huo Jan Oblack, Te Stergen,Neure na Allison Becker wako vizuri sana misimu miwili mfululizo.
Huyo kipa Madrid walilamba grasa kabisa afadhali sana Hazard
 
Hugo Lori's
David De Gea
Thibaut Courtious
Kyle Navas
wameporomoka sana viwango vyao misimu miwili mfululizo wako kwenye downfall.

Wakati huo huo Jan Oblack, Te Stergen,Neure na Allison Becker wako vizuri sana misimu miwili mfululizo.

Mkuu Neure naye sikuhizi wa kawaida sana
 
Ole ameuza wachezaji wazuri sana ambao wangetumiwa na Allegri.

Allegri akija atakuta makapi ambayo hayatampa mafanikio.

Ndio maana najiuliza kama hatuna DoF hatutafika popote kwasababu kila kocha anakuja na wachezaji wake.

Ila katika yote Ole sio kocha, anafanya makosa ya wazi kabisa ambayo yanaigharimu timu na anaona yupo sahihi wakati yupo wrong.

Kwanza, kutumia mfumo ambao haumpi mafanikio kila siku.

Pili, kuuza wachezaji muhimu na kubaki na takataka ambazo zinasuasua.

Tatu, kukubali kuanza msimu na kikosi dhaifu na kuwa comfortable kabisa.

Glazers na Ed ni kansa pale Utd.
 
Simkubali sana Allegri kwangu mimi my choice would be
1 Eric Ten Hag
2 Nagelsman
3 Leornado Jardim
4 Eddie Howe
5 Allegri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…