Manchester United (Red Devils) | Special Thread


Jamaa alikuwa vizuri game ya Liverpool Tu lakini tangia hapo kawa galasa dogo James kamuacha mbali sana

Yaani sana
 
Yeah... Sikuwa mbali sana na makisio

In this one you were right, lakini mimi sikuwa mbali

Tukubali kwamba hata wewe ungeweza kukosea (ku predict exactly ni ngumu) na najua japo unaweza kukataa hapa lakini mashabiki wengi wa Arsenal hawakutegemea game kuwa vile ilivyokuwa





Lakin uliipa man u asilimia 60 za kushinda

Mimi nilikwambia ni 50/50 nikizingatia poor selection ,na poor tactic za Unai
 
Acha kubwabwaja kama kuku wa kafara wewe, ina maana wewe kabla ya mechi ulisema kuwa utafungwa?????

Msimu uliopita mlituchangia point 4 na huu hivyovyo, tunawasubiri machinjioni
 
Kama young alivyopelekeshwa na katoto kadogo BUKAYO SAKA mpaka anakumbatiakumbatia bila ya aibu,

Kama MAGWAYA anayemwogopa king P.E.A baada ya kumkaba anamkimbia
Kipepe hamna kitu, mchezaji ghali wa muda wote Arsenal, ametulizwa na academy graduate Axel ambaye amecheza namba ambayo hajawahi kucheza
 
Wenzio timu mbovu tunazijua huwa tunakuwa kimya bado nashangaa kipi mashabik wa arsenal mnaamini timu yenu inaweza kishinda ina maana bila computer kuwapa goli mlishakufa
Sasa nyie mtabebwa mpaka lini??yaani linesman yupo palepale bila aibu anatoa maamuzi ya kipumbavu,mbeleko ilikuwa zamani na ndio maana siku hizi kina westham wanajipigia tu
 
Mbona hukusema?
 
Kuna makosa unaona kabisa yanastahili mtambo Ila lile la Jana ni aibu sanaaaaaaaaaa ni goli la wazi hata ndondo cup huoni ufaras kama ule
 
Beki anakimbia mpira ili iwe off side hovyo kabisa
Sasa nyie mtabebwa mpaka lini??yaani linesman yupo palepale bila aibu anatoa maamuzi ya kipumbavu,mbeleko ilikuwa zamani na ndio maana siku hizi kina westham wanajipigia tu
 
Unaota wewe,,lete takwimu zao za msimu uliopita hapa,usiongee usivyovijua
Hapa anaongelewa Pepe sio Fred. nimeongelea Pepe na sio mechi saba ni zaidi toka yuko Lille na kiwango chake cha kawaida na hamfikii Zaha kwa mbali, maoni yangu
 
Naona vilaza wa aseno wamejazana hapa ghafla tu....
Pointi yao huku goli la auba......young na saka
 
Unaota wewe,,lete takwimu zao za msimu uliopita hapa,usiongee usivyovijua
Yes naota. msimu mzuri pekee aliokuwa nao ni mwaka jana goal 22 Lille na tisa ni kwa penalty. kabla ya hapo alikuwa na misumu ya kawaida sasa usiniambie mchezaji aliyefunga league 1 goal 22 (9 penalty) msimu mmoja ndio kawa star. sasa ya nini kumishana sio yuko Arsenal aoneshe. Afcon to Egypt ndio utajuwa level yake. Team yake ya Taifa mechi 3 hana goal wala assist. Yule mtoto Saka jana utasema yeye ndio 72 Million kumbe wa bure tu.
 
Chief Mkwawa na Linagrd wake wa jicho la 3.

Mkuu kama umekosa jicho la 3 la kumuangalia Lingard basi tafadhali usinidharaulie wachezaji wa Kikosi changu kinachotisha uwanjani pale wachezaji wasipokuwa na Mpira.

Nyinyi endeleeni na kina Messi wenu wanaotesa na Mpira Mguuni.

But wachezaji wangu hawahitaji Kuwa na Mpira Mguuni ili wawe Wakali.

Yani ulitaka wawe hatari basi usiwape Mpira mguuni bali waache tu watembee bila ya Mpira.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…