Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Makocha wanaojenga timu wanaonekana hata kwenye maamuzi yao,jiulize leo Rashford alikuwa anafanya nini uwanjani hadi atolewe Pereira yeye abaki?

Hivi ujinga anaofanyaga Rashford, akiufanya chini ya Pep anaweza kupata namba tena?

Kama Ole akiendelea kuwa kocha,tunamaliza nafasi mbaya sana. Tukipata nafasi ya kushiriki Europa basi itakuwa ni sawa na ubingwa kwetu.
 
Na hao ndo wengi utasikia kocha mbn mzr.. Kocha mzr ka prove wapi uzur wake, uzur wa kocha hata kama team sio nzr utauona tu kwny Tactics zake.. Ole yan plan B uwa hana mpr ukigoma ndo basi tena game imeishia hapo
 
Akifika December sijui lazima wapite nae, ubaya wa kazi za siku hizi kama hakuna Positive Results unaondoka, hakuna mambo ya kuvumiliana

Rashford alikuwa anaruka makida makida Tu na kacheza dakika 90 ole uwezo wake ni Average sana kwa mpira ule imagine tunakutana na Pep team Aisee itakuwa dhahama
 
Na hao ndo wengi utasikia kocha mbn mzr.. Kocha mzr ka prove wapi uzur wake, uzur wa kocha hata kama team sio nzr utauona tu kwny Tactics zake.. Ole yan plan B uwa hana mpr ukigoma ndo basi tena game imeishia hapo

Humu napitaga kusoma comment mpaka huwaga nabakia kucheka tu yaani uhalisia unaonyesha chombo kinazama baharini, wasioangalia mpira wanakwambia we timu itakuja kuwa imara sana hapo baadaye

Wachekeshaji wengi sana Humu
 
Me uwa nacheka sna.. Utasikia tumpe tu mda madirisha ma3 ya usajili team itakua htr sna...hii team Ndio ni mbovu sawa tunakubal.. Lkn ukwl usiopingika OGS sio kocha wa kariba ya kufundisha United na tuko hapa wata struggle nae mpk watamuondoa tu ni swala la mda
 
Kweli, Leicester ile game yenu nilijua atapata hata droo. Bahati mbaya wakafa moja.

Jamaa wanacheza bila pressure yoyote ndo maana wasumbufu.

Ile si tulipata ngekewa wanaweza ingia Top four msimu huu sababu Tangia Brendan Rogers achukue timu ni Klopp na Pep ndiyo wamekusanya point nyingi then anafuata yeye kama sikosei
 
Ile si tulipata ngekewa wanaweza ingia Top four msimu huu sababu Tangia Brendan Rogers achukue timu ni Klopp na Pep ndiyo wamekusanya point nyingi then anafuata yeye kama sikosei

Sijui shida ya Tottenham ni nini, mwaka huu top 4 naona kabisa Leicester ni contender, hapo anaumana na Tottenham, Aresnal na Chelsea.

Man Utd simwoni kwenye top 6 labda kama atapata striker anayeweza kuamua matokeo hii January.
 
Pepe ni uoga tu wa ligi mpya kama lindelof kipindi anaanza kucheza
 
Solskjaer

Seven goals now in seven games [for Aubameyang] so that's clinical. You think at the time maybe Harry [Maguire] managed to get out but it was a few yards onside and a good finish.
 
Pépé is with the team for only like a month. No preseason and it’s huge difference between French league and Premier League. Give him a break and judge him after whole season, not 3 games against top 6 clubs and two cames from the bench

If social media was around when Henry And Bergkamp first joined you’d think they were absolute wank. Give him some time
 
Mi nataka kujua tu ni fowadi gani duniani aliekuja kuwa kocha akapata mafanikio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…