rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Sep 30, 2019 #118,261 DonDonald said: Halftime sasa afadhali Lowkey Arsenal anatusaidiaga sana kuongeza points kwenye msimamo wa ligi Click to expand... Tukija Old Trafford tunakuwa kama Mbwa mbele ya Chatu...Tunajinyea nyea
DonDonald said: Halftime sasa afadhali Lowkey Arsenal anatusaidiaga sana kuongeza points kwenye msimamo wa ligi Click to expand... Tukija Old Trafford tunakuwa kama Mbwa mbele ya Chatu...Tunajinyea nyea
Upepo wa Pesa JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 21,786 Reaction score 35,747 Sep 30, 2019 #118,262 waOLDmoshi said: Kuna wakati Pogba anakua serious na kazi yake ila akiamua kuvuruga hutani hata kumuona uwanjani. Click to expand... Pogba hata asipokua kwenye kiwango chake ana impact kwenye timu. Jiulize kwann akiumwa Ole anaumwa kichwa!!
waOLDmoshi said: Kuna wakati Pogba anakua serious na kazi yake ila akiamua kuvuruga hutani hata kumuona uwanjani. Click to expand... Pogba hata asipokua kwenye kiwango chake ana impact kwenye timu. Jiulize kwann akiumwa Ole anaumwa kichwa!!
M markson 1 Senior Member Joined Feb 19, 2019 Posts 152 Reaction score 71 Sep 30, 2019 #118,263 Hiyo kweli tumepigwa allantence said: Arsenal kwa Pepe walipigwa aisee. Click to expand...
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Sep 30, 2019 #118,264 Hahaha hatari sana Ollachuga Oc said: Kule arsenal wanalalamika na ninyi munalalamika tuwaeleweje.. Click to expand...
Hahaha hatari sana Ollachuga Oc said: Kule arsenal wanalalamika na ninyi munalalamika tuwaeleweje.. Click to expand...
waOLDmoshi JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 879 Reaction score 1,753 Sep 30, 2019 #118,265 ze-dudu said: Dharau izi Dogo ni cleverley typo Click to expand... Bwana mdogo katulia kwenye dimba, hana mambo mengi kama sana. Cleverly alikua na papala sana.
ze-dudu said: Dharau izi Dogo ni cleverley typo Click to expand... Bwana mdogo katulia kwenye dimba, hana mambo mengi kama sana. Cleverly alikua na papala sana.
J Jeho JF-Expert Member Joined Jul 2, 2011 Posts 5,069 Reaction score 5,551 Sep 30, 2019 #118,266 Shida Tom akifunga goli, huwa ama tudroo au tupigwe. Labda hiyo hali ikome Leo.
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Sep 30, 2019 #118,267 rubaman said: Tukija Old Trafford tunakuwa kama Mbwa mbele ya Chatu...Tunajinyea nyea Click to expand... Msife moyo lakini mna dakika 45 ya kupindua meza
rubaman said: Tukija Old Trafford tunakuwa kama Mbwa mbele ya Chatu...Tunajinyea nyea Click to expand... Msife moyo lakini mna dakika 45 ya kupindua meza
3llyEmma JF-Expert Member Joined Oct 23, 2017 Posts 6,172 Reaction score 6,885 Sep 30, 2019 #118,268 Wale wenye njano wawe makini.. kama young atachomesha.
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14,905 Reaction score 34,435 Sep 30, 2019 #118,269 Leo mme muona next carrick kesho mta muona kivingne waOLDmoshi said: I see a next Michael Carrick Click to expand...
Leo mme muona next carrick kesho mta muona kivingne waOLDmoshi said: I see a next Michael Carrick Click to expand...
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Sep 30, 2019 #118,270 Bado Arsenal wana uwezo wa kutufunga.
Y Yodoki II JF-Expert Member Joined Oct 17, 2014 Posts 5,517 Reaction score 4,008 Sep 30, 2019 #118,271 waOLDmoshi said: Kuna wakati Pogba anakua serious na kazi yake ila akiamua kuvuruga hutani hata kumuona uwanjani. Click to expand... Pogba anazinguaga kwa sababu ya vihio waliomzumguka, anaomba wanamchosha ila anajua kupenyeza
waOLDmoshi said: Kuna wakati Pogba anakua serious na kazi yake ila akiamua kuvuruga hutani hata kumuona uwanjani. Click to expand... Pogba anazinguaga kwa sababu ya vihio waliomzumguka, anaomba wanamchosha ila anajua kupenyeza
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Sep 30, 2019 #118,272 Dah.... jamaa wamerudisha
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Sep 30, 2019 #118,273 Mshika kibendera kaleta mahaba ya wazi bao la auba
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 5,903 Reaction score 11,712 Sep 30, 2019 #118,274 Walete walete kati
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Sep 30, 2019 #118,275 Refer katunyima penalti VAR kumbe si lolote
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 5,903 Reaction score 11,712 Sep 30, 2019 #118,276 Timu la kubebwa lishika kibendera likasahau kuwa kuna var
ze-dudu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 18,428 Reaction score 24,145 Sep 30, 2019 #118,277 Aseno wanakuja kama wote pindueni meza iyo kibabe
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Sep 30, 2019 #118,278 VAR VAR VAR
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Sep 30, 2019 #118,279 Huyu Aububeryanga mbaya sana, shanti sana dogo huyu.
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Sep 30, 2019 #118,280 Graph Theory said: Shida Tom akifunga goli, huwa ama tudroo au tupigwe. Labda hiyo hali ikome Leo. Click to expand... Kama ulijua vile
Graph Theory said: Shida Tom akifunga goli, huwa ama tudroo au tupigwe. Labda hiyo hali ikome Leo. Click to expand... Kama ulijua vile