Kwa mimi nilivoona,Fabian Ruiz ana vitu vizuri ambavyo natamami kiungo wa timu yetu awe navyo..Though Savic sio mbaya piaBadala ya kumchukua Fabian Ruiz kwanini usimnunue Marco Verrati na Sergej Millinkovic Savic
Unafiki ni uchawi hauna viwango.Unafki ukizidi kiwango unakuwa sio unafiki tena bali ni UCHAWI
JifanganyeLeo naweka shilingi yangu kwa Man u. Man u ni wabovu safu ya ushambuliaji ila nyuma wapo vizuri.
Arsenal wazuri safu ya ushambuliaji ila kiungo na safu ya ulinzi ni mbovu.
Counter attack za man u zitawapa ushindi hii match, nategemea pia Luiz atatoa boko la mwaka.
Man u sio wazuri sana msimu huu ila kwa match na arsenal wananyakua point 3.
Pamoja sana ,Leo vijana hawatatuangushaArsenal point 3 zenu Zipo hukuu .piga hawa wacheza ngoma wa EPL
HahahahaaIv ni kweli kuwa manchester kuna mchezaji ni shoga
Haiwez kutokeaPamoja sana ,Leo vijana hawatatuangusha
Liverpool mnatusapoti Leo tunawasafishia njia , next weeks mje mmalize kazi
I’m told that Ole Gunnar Solskjaer will be sacked by Man Utd if he loses both of the upcoming games against Arsenal and Liverpool. #MUFC
Kipi arsenal leo kinachowafanya waone kama wanashinda hii mechi maana mna uhakika balaaJifanganye
Southern Leo unatusaliti ,wakat hawa walikubonda 4-0 ,kweli wewe wakutusaliti ??Maisha bila unafiki hayaendi
Hata man u MNA uhakika sanaKipi arsenal leo kinachowafanya waone kama wanashinda hii mechi maana mna uhakika balaa
Timu zote mbili matokeo yao hayatabiriki ni ngumu kwa sasa kujua yupi anashinda binafsi kwa hiz timu nipo kimya tuHata man u MNA uhakika sana
Lkn dk 90 zitaongea
Mimi naiombea ushind timu yangu
Naiman vijana hawataniangusha
Naiman pepe Leo atafanya jambo
Rashford, Pogba kuwepo kwenye kikosi dhidi ya Arsenal?
Man u nimeweka stake ya laki 1 mshinde, ole wenu mcheze makorokocho
In the last 16 games Aubameyang has the same amount of goals as United (16)Arsenal nae anakula 4 imeisha iyoo
Kipi arsenal leo kinachowafanya waone kama wanashinda hii mechi maana mna uhakika balaa
Man u nimeweka stake ya laki 1 mshinde, ole wenu mcheze makorokocho
Ushapunwa wwMan u nimeweka stake ya laki 1 mshinde, ole wenu mcheze makorokocho