Alexis Sanchez in the Premier League for Man United:
3 goals in 1,925 minutes played.
Alexis Sanchez in the Serie A for Inter:
2 goals in 40 minutes played.
Wow
Wakuu mtatusamehe sana , tena sanaaaaa
Kesho tunazihitaji hizo point 3 ni muhimu sana kwetu.....
Nafikiri tumeelewana
Taarifa za ndani zinasema kuanzia jana Maguire hajaongea na mtu kabisa huko Carrington, anavunjavunja vitu tu. Sijui anajiandaa kufanya nini. |
Huu umbea umeutoa wapi?
Taarifa za ndani zinasema kuanzia jana Maguire hajaongea na mtu kabisa huko Carrington, anavunjavunja vitu tu. Sijui anajiandaa kufanya nini.
lingard kawaroga hata asipokuwa na mpira ni hataric aanzie nje pale anaposima ole ndo atakuwa hatari zaidi ya hivi wanavyomuona
Hahahah ahnataman muingie kwenye hyo red portion na msitoke mpk mayView attachment 1218736
Vipi zinazo fata baada ya arsenal(hii sina uhakika kama tutashinda)
Na tukishinda 3 tunaingia top 4Hahahah ah
Tukiwapiga kesho , kuna hati hati wakaingia huko au wakawa wanachezea maeneo hayo
Hope soNa tukishinda 3 tunaingia top 4
Taarifa za ndani zinasema kuanzia jana Maguire hajaongea na mtu kabisa huko Carrington, anavunjavunja vitu tu. Sijui anajiandaa kufanya nini.
nataman muingie kwenye hyo red portion na msitoke mpk mayView attachment 1218736
Na nyinyi LACCA angekuwepo nyinyi aiseeeeehhhh dah tungewaWATFORD hapohapo oldtoiletKwa sasa game yoyote kwa United ni ngumu, hata dhidi ya Newcastle.... Ni siri iliyo wazi kuwa United hawapo kwenye good form na wana wachezaji majeruhi ambao ni muhimu
Lakini ni kosa kubwa kuidharau United itakapokuwa inacheza na timu kubwa (top six) kwani hizi timu zinafunguka na kuacha nafasi inayoweza kuruhusu game ya United/OGS (counter attacking football)
Kuna watu wanajiuliza Chelsea walipigwaje na United hii, nashindwa kuelewa wanashindwaje kupata majibu
United ina creative players wachache na inacheza zaidi counter attacking football. Aina hii ya mchezo inawatesa sana wanapokutana na timu ndogo zinazocheza "kwa ku pack bus" kwa kuwa wanashindwa kutengeneza nafasi na kufunga magoli
Tatizo la United la kuwa na washambuliaji butu halijaisha, tatizo la kuwa na majeruhi bado lipo, tatizo la United kuwa na kiwango kibaya bado lipo lakini watu wanafanya makosa sana kuidharau United mbele ya Gunners wenye washambuliaji wazuri, midfield ya kawaida na beki isiyoridhisha.
Kuna watu watasubiri kesho tufungwe halafu waje wa quote huu Uzi, ninawaambia NO PROBLEM, ninawasubiri. Lakini kuweka kumbukumbu sawa Sijasema United ana 100% ya kushinda, ila ninampa asilimia kubwa ya kushinda
Na nyinyi LACCA angekuwepo nyinyi aiseeeeehhhh dah tungewaWATFORD hapohapo oldtoilet

Huyo LACCA tangu asajiliwe kuna kipi kikubwa kakifanya kuisaidia timu? Ni average player
Tema mate chiniHuyo LACCA tangu asajiliwe kuna kipi kikubwa kakifanya kuisaidia timu? Ni average player
Mkuu Mc cane ushindi wenu kesho unategemea sana upumbavu wa emery maana tayari beki zetu zimerudiKwa sasa game yoyote kwa United ni ngumu, hata dhidi ya Newcastle.... Ni siri iliyo wazi kuwa United hawapo kwenye good form na wana wachezaji majeruhi ambao ni muhimu