Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wewe ni genius
 
Ed atampa tu.

Huyu si ndo Cash Cow wa matangazo pale Utd?
 
Wale tunaoamini kipaji cha Mchezaji asipokuwa na mpira Nyoosha kidole juu

Lengo nataka tushirikiane tupeleke Petition FIFA nasisi watuandalia tunzo yetu ya Best Man Player of the Year Kwa Mchezaji mwenye kipaji bila ya kuwa na Mpira.
 
Mkuu vitu vingine unaongea kama una uhakika lakini huna uhakika

Kauli ya hivi karibuni iliyotolewa na Ed kuhusu DOF/SD/Technical Director ni hiyo hapo chini, sasa wewe hizo story zako sijui umezitoa wapi

Sasa anavyosema United wana review structure ya football side kwa uelewa wako ndio anamaanisha United isahau mambo ya DOF?
Ameshawsambia hizo Rumours za kuja DOF hakuna kitu kama hicho, akasema Wao Utd wanaamini DOF hahitajiki
View attachment 1217903
 
Kijana sijazusha sasa ngoja nikuletee habari nilikoiona maana ilikuwa napitiapitia media ndio nikaona hiyo habari ndio nikamjibu yule jamaa kwamba Ed amesema kuhusu Kumuajiri DOF ni Rumours tu tunazoongea huku mitaani
 
Nitashangaa sana OGS akitumia 4-2-3-1 yake ambayo tayari imeshindwa kuleta matunda katika mchezo wa Jumatatu.
 
Naomba direct quote kutoka United kama mimi nilivyoonesha

Vinginevyo ni upupu tu mwingine unasambazwa na media kama the sun n.k
Kijana sijazusha sasa ngoja nikuletee habari nilikoiona maana ilikuwa napitiapitia media ndio nikaona hiyo habari ndio nikamjibu yule jamaa kwamba Ed amesema kuhusu Kumuajiri DOF ni Rumours tu tunazoongea huku mitaani
 
Kama mechi ya Rochdale alicheza hiyo formation (defensive/formation ya uoga) unategemea dhidi ya Arsenal atacheza formation ipi
Nitashangaa sana OGS akitumia 4-2-3-1 yake ambayo tayari imeshindwa kuleta matunda katika mchezo wa Jumatatu.
 
Yule jamaa aliniqoute na kunitamkia hiyo kauli yupo wapi maana hata jina silikumbuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…