teh teh kama vipi bora asajiliwe usain bolt.
mfumo wa kutembea bila ya mpira utamfaa sana kwa sababu ana mbio
We ndo umeandika hapa au kuna mtu kakuandikia hivi klopp asingebeba kombe lolote mngeendelea kumfurahia? Kuna msabiki asiebadilika? Nipe jibu kwa nini makocha hufukuzwa baada ya kupokewa vizur au mchezaj kuzomewa
Hii nahis mnatuchezamea mind game tu ,Pogba out, Rashy out, Martial out, Luke Shaw out
Kuna watu hawafanyi kazi zao pale United, Sport Science ama makocha wa viungo
mind game zimeshapitwa na wakati.Hii nahis mnatuchezamea mind game tu ,
Nasubiria siku tu itangazwe mapato united yameshuka tena wamepata hasara kubwa na hapa ed na genge lake la glazers rasmi wataibwaga hii timu......huku ikiwa ishajifiaEd Woodward kashatamka rasmi kuwa hiyo role ya DOF haitakuwepo
Na haiwezi kuwepo maana yeye anataka player wa kuuza jezi tu ila uwanjani hamna kituEd Woodward kashatamka rasmi kuwa hiyo role ya DOF haitakuwepo
HahahahaHuna adabu. Yaani sisi hata tukimpanga nabii Tito analitungua shati lenu lile.
Dirisha lilivyokuwa wazi hawakusajili.No Kirusi(Pogba),Martial,Rashford on Monday..
Jesse' Lingard(JLingz) kama false No 9 vs Arsenal Jumatatu..
Hahahaha!!!
It will be a mess..
Tujiandae tu..
Hahaha watu walimind hadi nikajisikia vibaya imebidi niache.Hahahaha
Piga mbuzi hao
Hahaha kimenuka noma sanaSasa hivi mashabiki wa Spurs wanasemaje kuhusu Poch kwani?
Aisee nyinyi Watu munazidi kunivunja Mbavu
Yani Mimi humu sicomment mpaka nione post inayohusu "Mchezaji kuwa Hatari Akiwa Hana Mpira Kuliko Akiwa Na Mpira" Hii inamanisha Wenzake wasimpe Pasi ndani ya dakika 90 ili azidi kuwa Mkali.
Huyu mtoto mjinga kweli kweli...Pogba wants new £600,000-a-week contract
The Frenchman is hoping to become one of the highest-paid players in the world.
Paul Pogba is angling for a new £600,000-a-week contract at Manchester-United, according to tuttosport.
The midfielder has attracted interest from Real-Madrid and former club Juventus and is aware that the Old Trafford hierarchy are keen to tie him down.
That wage would make him one of the highest-paid players in world football, ahead of even Cristiano Ronaldo.
nyakati zimebadilika.Ooohh😔😔😔..
OGS hope?