Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha nimemsahau jina yule jamaa aliesema asipokua na mpira ana hatari balaa kuliko akiwa na mpira......anatuletea ushabiki wa kibongo humu
 
Hahaha na sisi arsenal hatumwagi ili mbaki na Ole hadi kifo kiwatenganishe.
 
Wakuu mbona tunalalamika sana.
Tuna timu nzuri aiseee, martial tutamkosa dhidi ya arsenal ...lingard yupo

Kati tuko vizuri, back line ndio usisemeee + ingizo jipya LA Axel tuanzebe...aisee OGS your the best ni swala la muda tu huyu jamaa ataonesha ubora wakes.

We are united
 
Mkuu uko serious na aya maneno yako au unatk wenzako tu waongee
 
Makocha wote wa academy wanasema Rashy hajawahi kuwa striker, Jamaa ni winger ila OGS anamuamini Rashy kama striker
 
martial atabadilika na atakuwa hodari kama robert pires
rashford atabadilika na atakuwa hodari kama andy cole
lingard atabadilika na atakuwa hodari kama sylvain wiltord.

huu ni mwaka wa nne naendelea kuzisikia tabiri hizi za ovyo
 
Lakini wengine mnasahu kwamba hiki kipindi cha mpito kipo tu na kuna msimu utafika kitaisha na wala sio leo wala kesho
kipindi cha mpito?
klabu imekuwa ikifanya uwekezaji wa kijinga ndio maana tumeshuhudia matokeo mabaya kwa takribani miaka 8 tokea fergie mwenyewe yupo.

klabu itakapofanya uwekezaji mzuri ndani ya uwanja nakuhakikishia hicho kipindi cha mpito tunachojifichia nyakati hizi tunapofanya vibaya kitasahaulika kwa kutumia dirisha moja tu la usajili.
 
DOF kwa hali yoyote anahitajika
 
Maajabu hayataisha duniani
Ina maana ole anataka kutuaminisha kwamba nimembadilisha position rashford na faida yake mmeionaa????
Makocha wote wa academy wanasema Rashy hajawahi kuwa striker, Jamaa ni winger ila OGS anamuamini Rashy kama striker
 
Hahahaha nimemsahau jina yule jamaa aliesema asipokua na mpira ana hatari balaa kuliko akiwa na mpira......anatuletea ushabiki wa kibongo humu

Aisee nyinyi Watu munazidi kunivunja Mbavu


Yani Mimi humu sicomment mpaka nione post inayohusu "Mchezaji kuwa Hatari Akiwa Hana Mpira Kuliko Akiwa Na Mpira" Hii inamanisha Wenzake wasimpe Pasi ndani ya dakika 90 ili azidi kuwa Mkali.
 
teh teh kama vipi bora asajiliwe usain bolt.
mfumo wa kutembea bila ya mpira utamfaa sana kwa sababu ana mbio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…